The New Stuff

26 Views

Walonoga Wiki Hii

Duh Jumatatu imeanza kwa mvua ,hii ni baraka ila kwa Dar kazi kweli kweli kipindi cha mvua ,foleni ndo inakuwa mara mbili. Wa Mikoani huko vipi zinanyesha???? Hongera kwa Jacqueline Mengi kwa kuandikwa kwenye jarida la Forbes ,juu ya ...

10 Views

2017 TRENDS :: FLORAL HEAD TO TOE

  Moja ya Trend kubwa sana kwa mwaka huu 2017 ni HEAD TO TOE FLORAL Yaani wale wa kumatch match mbona mmefikiwa hapa,yani wavaa kuanzia viatu,handbags etc floral skirt with crop top jumpsuit  mixed prints  two set match floral ...

15 Views

DESA MISHONO HII YENYE STYLE ZA KIBABE

Kwa wale wadau wa Mishono akeni mkao wa kula naja kwenue na bonge ya GIVEAWAY SOON ,details zote nitawapa humuhumu msijali . So for now tucheki mishono hii ya kibabe Asymmetrical effect sheer and fringes lace and kitenge hiki kitenge huwa ...

17 Views

Fatima Siad by Rowan Papier for Nylon 2017

Miss turned model ,ni Hijabista ambaye alikua wa kwanza kuvaaa Hijab na kugombea u Miss Minnesota huko Marekani ,akapata gigi kwa Kanye West kwenye New York Fashion Week 2017 akiwa ni Model wa kislamu wa kwanza . leo yuko kwa Rowan Papier for ...