10 Healthy Drinks Perfect for Your Family This Weekend Part 1

Weekend inakaribia ,so kama familia you can get to make healthy Drinks ku enjoy na familia yako,msijali vitu vyote vinapatikana bongo kwenye supermarkets au masoko makubwa ni wewe tu .

Nakuletea recipes kama 5 then nyingine 5 tutamalizia week ijayo

let’s go

Strawberry zina Vitamin C na E ,ni nzuri sana kwa ngozi yako na macho.waweza ongezea carrots na apple pia kuongeza sukari kidogo .

Kale Cucumber Apple Delight

Hii smooth ni healthy na inashibisha kabisa .una mix humo kale,grapes,matango,na apples

Pineapple Peach Papaya Smoothie

Nanasi , peach, na Papai yana  provide a powerful combination ambayo ita delight your taste buds. It’s light, sweet, and creamy, and a healthy way to satisfy your sweet tooth. Peaches yana utajiri mkubwa potassium na calcium  Nanasi na papai yana vitamin C ambayo inasaidia ku  boost immune health. Blend the fruits with almond milk and garnish with coconut or chocolate flakes.

Yummy

Cold fresh lemonade with cucumber and ice, selective focus

Matango,limao ,maji na rosemary sijui kiswahili zaitwaje hizi,this drink is very refreshing ,matango yanasaidia sana kwenye hydration .

two glasses of lemonade shot close up

Hii lemonade waweza ongezea lavender,tangawizi,watermelon ,strawberry kuifanya iwe more tastier and healthier  You can even make orangeade with the abundance of oranges available during the summer.

Related Posts

Leave a Reply