10 Simple Ways to store Your Beauty Products at Home

Am sure kwa mdada yoyote anayependa urembo lazima ana face hili swala la wapi pa ku store Beauty products zako nyumbani .

Kuna so simple ways waweza na tena vitu hivi vingi tayari unavyo nyumbani kwako.Si lazima uvunje bank au kwenda shoping for these things ni vitu simple kama Vikombe ,glasses,trays am sure wengi mnavyo vingine unaongezea as you go.

Where do you store perfumes,rangi za kucha,makeup brushes zako etc

Kuwa nami basi nikuelezea na picha zikikusadia uelewe vizuri.CakeStand

1.CAKE STAND

Yes kuna hizi cake stand ni rahisi tu kuzipata zipo waweza hata kununua kama una perfumes nyingi waweza store hapa hata foundations au powder pia.Beauty (5)

Waweza store hata lipsticks zako Beauty (2)

2.SUNGLASSES CASE

Mbali na kuwa hizi ni kwa ajili ya miwani yako zaweza pia tumika kuweka brushes zako
btray

3.TRAY

Tray am sure kila mtu nyumbani anazo waweza weka perfumes,rangi za kucha etc

tray

How cute Beauty (1) Beauty (12)

4.GLASSES

chukua the most cute glasses ulizonazo hifadhi brushes au lipsticks zako humo
Beauty (11)

5.CUPS

Vikombe navyo si kwa ajili ya chai hata hili piaBeauty (8)

6.ICE TRAY

Kama sio mpz wa ice na hutumii sana tumia basi ice tray yako kuweka eyeshadows zako au rangi za kuchaBeauty (6)

7.WINE STAND

Weka lotions au body sprays zako

Beauty (3)

8.DIVIDE PLASTIC CONTAINERS

weka kitana,lipsticks some few go to makeup brushes

Beauty (4)BEAUTY88 (1)

9.COTTON SWABS ON A GLASS OR OLD CANDLE VASE

BEAUTY88 (2)

10.COOKIE JAR FOR YOU NAIL POLISHES

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.