ONJA ::SEND OFF YA MERCY AMBAYO YASEMEKANA IMEIPIKU ILE HARUSI YA KINA KATAGIRA (KASIIME)

EVENT::WEDDING

MAKE UP::MAZNATBRIDAL

DESIGNER::EVECOLLECTIONS

DECOR::HUGODOMINGOEVENTS

PICTURES::MANIFESTERBRAND.

Kwa kuanza Familia nzima imevishwa na Evecollection mkali wa hizi kazi.

Yasemekana kuwa hii Send off  kama wamewajibu wale wenzetu wa kihaya kina Katagira wale walotrend sana ingia humu ujue nawaongelea kina nani

Sasa zawadi alizopewa dada huyu Mercy ndo kama zifuatazo mjue Wahaya sio wenzenu ila yasemekana hatukuwepo

#Cheque ya 50 Millions

#Prado mpya New Model

#Grand Vitara New model

#25 grams za pure Gold hapa kwenye ugonjwa alooh

#Cheque ya 50 Millions 

#Generator mpya Imported na 

#Malori manne ya Vitu vya kuweka ndani ya nyumba plus Nyumba huko maeneo ya Mbezi .

Duhh huyo bwana harusi anajiskiaje????nawaza alisemaje????maana waweza ogopa ndoa kwa Zawadi hizi  nawaza we kama bwana harusi  unampa nini sasa au wakwe za huyu dada ?????.

Hii ni Send off nawaza Harusi itakuwajee

12545324_860741184038839_443827019_n

The beautiful Mercy rocking her Evecollection dress ,by the way the dress was a two in one 12531102_974285182641480_429359824_n

Dress iko hivi ila kwa juu kuna kama a tutu skirt ya kuvalia juu.12598973_1013265892079355_1215163516_n

Hii skirt waweza kuitoa na akabaki na the dress 
12556109_169246330116175_1574779261_n

On the back.12568742_1688726284746039_1683618723_n

Na shingoni mkono ulikuwa attached na A bow .

12728701_1689954051251794_165643243_n12502056_979993908703693_182571366_n

Baby Jadyn Rosina nae na kivazi chake toka kwa eve collections,.
12716870_497525410438041_536279009_n

Mama yake pia alivishwa na Evecollection12717104_1523218214641681_463405781_n

Nani kama Mama 12568961_1668852173368666_1375305948_n

Hapa na Mama yake na Dada yake.IMG-20160212-WA0003

Hapa Mercy akenda msaka Mwezi wake IMG-20160212-WA0002

Bwana Harusi mtarajiwa ndo huyu.

Picha zaidi LOADING………………………………

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.