KKW ::UA AINA YA ORCHID

KIZURI KULA NA WENZIO WIKI HII NIMEAMUA KUSHARE NAWE JUU YA HILI UA LA ORCHID AMBALO LINARANGI NZURIII NA MUONEKANO WAKE WAWEZA SEMA NI UA LA ARTIFICIAL YALE  YA PLASTIC.

NILILIJUAJE HILI UA:
NI WAKATI HARUSI YANGU ,MWENYEWE KWENYE KUGOOGLE UA GANI NTABEBA NIKAKUTANA NA HILI ,SI NIKAENDA KWA MPAMBAJI WANGU MWENYEWE NAMUONESHA HILI UA NDO UNITENGENEZEE, MPAMBAJI WENYEWE ALIKUWA MADAM GLAM ….ALIISHIA NICHEKA NAKUNIAMBIA NIMPISHE HAYO MAUA BONGO ATAYAPATIA WAPI NA HATA AKIYAPATA IZO BEI NA KULITUNZA KWAKE NI SHIDA. BASI MWENYEWE NIKAWA MPOLEEE AKANITENGENEZEA UA LINGINE , NALO LILIKUWA ZURI MASHAALLAW NALO ALILITENGENEZA LISHAMWAGIGA MITHILI YA HAYA HAPO CHINI. WE KAMA HULIKUMBUKI WAWEZA LICHEKI

HUMU SHAMIM & ABDUL WEDDING

IMG_4907 IMG_4906

KUNA siku nilienda KAYIKAYA DUKA LA DECOR WANAUZA POT ZA MAUA NA FURNITURE SI NDO NIKAKUTANA NA MDADA MMOJA HIVI AKANIAMBIA YE MPENZI WA MAUA NA HUWA ANAPITA PALE KUNUNUA POTS ZAKE SI NDO AKANIONESHA BAADHI YA MAUA YAKE …MWENZANGU WE SI NDO NIKAKUTANA NA ORCHID, NIKAMUULIZA KWANI UA HILI LINAMEA DAR ES SALAAM , AKANIAMBIA NDIO NAYEYE ANA MKONO WAKUPANDA , BASI NIKAMBOOK ANIGEE MBEGU YAKICHANUA…..japo nasikia huko ARUSHA yakamea kama ua ridi

WAKATI NASUBIRIA MBEGU IMEEE SI NDO NIKAKATIZA FOOD LOVERS NIKAKUTANA NAHAYA MAUA KWANZA NIKAWAITA WAFANYAKAZI KUWAULIZA KAMA YA UKWELI AU MAPAMBO, WAKANIAMBIA YA UKWELI NDO NIKAJISEVIA MOJA LANGU NA MOJA NIKAMCHUKULIA ZAWADI SHOST YANGU ALONIRUDISHA KATIKA HII HOBBY YA MAUA UKUBWANI ,

YES MAUA NILIKUWA NAYO ZAMANI ENZI MTOTO VILE VYA KUPANGA KWENYE MADEBE YA KORIE NA MAUA YA VIKOSINI MAUA YA SAA 4 NA VITENGE, NILIPOANZA HANGAIKA NAMAISHA YA SHULE NIKAIWEKA KANDO HADI HIVI MAJUZI NILIPOKUWA NYUMBANI KWA AJILI YA MATERNITY YA MTOTO WA WANGU WA PILI NDIPO NIKATAMANI TENA MAANA YA KUONA NYUMBA YA SHOGA ANGU  MAZNAT INA MSITU WA MAUA NDO AKANIKUTANISHA NA MJASIRIAMALI MASAI MARWA AMBAYE ANAJISHUGHULISHA NA UUZAJI WA MAUA NA UTENGENEZAJI WA GARDEN AKAJA NIBADILISHIA NYUMBA YANGU NA MIMI NIKAWA NA HOBBY MPYA YA MAUA…..si haba

IMG_4890 IMG_4853

NA MAUA YENYEWE NDO HAYA LA KUSHOTO LA SHOSTITO NA HILI LA KULIA NI LANGU NA POTS NA MAWE NIMETOA KAYIKAYA AMBAPO HAYA TA NAWE WAWEZA PATA YAKWAKO

WHY NIMEAMUA KUSHARE HII STORY

NAAMINI KUNA WANAWAKE WENGI KAMA SI WANAUME AMBAO MNAPENDA MAUA NA MNAMAUA YA AINA NYYINGI SAANA YAKIWEPO CACTUZ, JESUS CHRIST,ORCHID NK AMBAO MTAWEZA NIGEA MBEGU IWAPO ORCHID YANGU  ITAKUFA NA NAAMIN MNA MAUA MENGI AMBAYO MIE SIYAJUA, PLZ NAOMBA MSHEEE NA MSIWE WACHOYO, KIZURI KULA NA WENZIO

KWA YEYOTE MWENYE ORCHID NA JINSI AMBAVYO ANAYATUNZA HAPA DAR NA YANAKUWA PLZ NICHEKI EMAIL ::SHAMYOMY@YAHOO.COM

SIMU ::0784418941

MAANA NIMESOMA HICHI KIPEPERUSHI JINSI YA KUYATUNZA ITS MTIHANI MARA UTUMIE MAJI YA MVUA KUMWAGILIZIA, NIKAANGIA YOUTUBE KUPATA DARASA, WENYEWE WAZUNGU WANACHUKULIA RAHISIIIII SIJUI HALI YA HEWA YAO NI RAFIKI .HILI LANGU SILIONI KAMA LITAVUKA. TUTAENDELEA KUUPDATIANA INSTAGRAM NA SNAPCHAT

PLZ TAG ME KAMA UNA ORCHID NATAKA NIFANYE COLLECTION

XOXO

ZEZE

IMG_4886 IMG_4887

HIZI NI YOUTUBE CHANEL NAZOPATIA SHULE LAKINI WAPIII…HEBU NIPENI JINSI YA KUYATUNZA KIBONGO BONGO

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.