BRIDE::JOCELYN MAFURU
EVENT:: KITCHEN PARTY
VENUE::HELLENIC CLUB
COLOR::YELLOW & BLACK
MC::MISH B

lol! Sister…sister…utasema wachinaa

                                                                  Mzee Chema

MC kama kawa alikuwa Mish B…Mish ni Bomba …ukipenda Mrs Mwakalinga!!!mie namuita mama wa MaDish Dash!!….:)

                                                   Ulikuwa ukiingia ndio wapewa sareee

                                                                           mapambo

KULIKUWA NA SEHEM MAALUM YA RED CARPET shurt ina roses za kukanyagia…chezeee

                                                                      RED CARPET

                      Mama SAMATHA (kulia)…ana head Band na Clutch tuka 8020 FASHIONS

                         NILIKOGUSWAAA!!!

 HII STYLE NI VAZI MAALUM HUKO UGANDA …. maza kaiwekea mabega juu WANAIITAJE TENA…. NAPENDA SAANA IKIVALIWA KAMA SARE NA INAPENDEZA….. WADAU KWENYE KIBAO KATA MWAONAJE TUKITINGA HII??!!

                                          ni hizi accesories…..uko juu na kigoda toka 8020 FASHIONS

                                                                        jiuaaaaaa

                                                            MADINI mama madiniiii!!!!

19 Responses to “ JOCELYN KITCHEN PARTY ”

 1. kasodo

  Hilo vazi la kiganda linaitwa GOMES. Hapo bado cha mtoto, ulikute lililoshughulikiwa na kutolewa gharama ya kutosha, utachoka mwenyewe!!

  nimependa rangi ya yellow!!

  Reply
 2. Anonymous

  Hi!
  So lovely k’party. bibie amependeza, i lyk that colour, ama kweli IMANI huja kwa kuona kumbe nimenote kuwa black yaweza fanya majamboz makubwa tu. HONGERA bibie mwenye k’party yake.

  Gg

  Reply
 3. shushu hot!

  aisee kichen party imenoga!!!! sipati picha sendoff na siku ya harusi, rangi zao zimetulia, na waalikwa naona hawajaharibu shughuli kwa kuleta’upinde wa mvua'(kuchanganya rangi!!!eeeheeeh!!!)wako juu na wote wamependeza!!!

  Reply
 4. Anonymous

  hilo linaitwa gomes ni vazi la taifa nchini Uganda,nyie mkalitinge kwenye kibao kata? think twice

  Reply
 5. Anonymous

  Khadija MWanamboka umependezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mashalaaahhhhhhhhhh

  Reply
 6. Sab

  Shughuli ilikua nzuri watu walipendeza sana esp Bibi harusi.My Cutesmile asante mama kwa kuwakilisha ulipendeza sana,Kila la kheri Joceline

  Reply
 7. wahida shoo

  wamependeza sana ila kunangua imenigusa hapo basi tu na namkubali mish B hanajijulia kimavazi.

  Reply
 8. Anonymous

  Jamani mmependeza sana hongera Jocelyen umependeza sana na ndugu zako hapa nawaona jacky, jema kila la heri. Seko yuko wapi siku hizi?

  Reply
 9. Anonymous

  Jack Mafuru, Salome Mponda, Mwajuma Mfinanga washikaji mmetoka ile mbaya mmewakilisha hosteli pale mitaa ya kati safi sana, bila kumsahau wajina wangu Sarah love u so much dada. Bibi harusi nawe pia umependeza sana. Nice colour big up.

  Reply
 10. Anonymous

  jamani huyo dada wa bi harusi nadhani anaitwa Jackie…plz tuwekee indo za fundi aliyekushonea,
  pia Rakiiz wife tunaomba info za fundi

  IMO matron amechusha sana hata kama bi harusi alitaka mwenzake aonekane plain mmmh….jamani confidence ni kitu muhimu

  otherwise watu wamelipuka, kila la kheri bi harusi

  Reply
 11. Anonymous

  wadada walio wengi hapo wapo natural inapendeza sana. na mungu kawajalia wakina dada/mama wa kiTZ mahips lol? God bless us.

  Reply
 12. Anonymous

  jmn mdada mweye black shoes na black dreass nafikiri anaitwa doris kaiza jmn umependeza sana mpnz wangu mic. jullie.

  Reply
 13. Anonymous

  Pendeza wote Salma Msangi nipe siri ya mwili wako kukomaa hivyo ni mazoezi au i like it kama mama Obama vile

  Reply
 14. Anonymous

  Dah, aisee mi nilikoguswa ni kamera yako Shamim, zile picha za mwanzo ziko full 3D! duh, utazani mi nipo..

  Reply
Leave a Reply
Your email address will not be published.
 • ( will not be published )