i told ya she is FASHION DARE…..ona hapo kalipuka na kitu cha supraaaa ….wanazohangaika nazo MASHAROBAROOOO

Mi nilimuona na hz nikajua may be alisema achepuke nazo mara moja za bro…..akaniambia namchezeyaaa ana peya za kutosha …nikarushiwa na bi samiratha iyo ya blue……..Unanimaliza Penny

3 Responses to “ SHAROBARO QUEEN ………wink ”

 1. Anonymous

  FASHION DARE!!!! JAMANI ZEZE WEWE BADO KWELI WHEN IT COMES TO FASHION LEO NIMEGUNDUA HILO

  Reply
 2. Anonymous

  HE! WE ANONYMOUS HAPO JUU VIPI!? OFCOZ THAT IS A FASHION DARE, YOU AS A WOMAN WOULD YOU DARE TO WEAR THEM SHOES N BE PROUD N COMFORTABLE AS SHE IS!? TAFAKARI!!!

  Reply
 3. Anonymous

  Im a woman and proud to wear trainers or (whatever shammim calls em)all the time..its about passion and not gender, you get me?? so the first anony was right..it aint fashion dare!!

  Reply
Leave a Reply
Your email address will not be published.
 • ( will not be published )