BRIDE::JACQULINE
MATRON:: LOVENESS
COLOR::HOT PINK & BLACK +APPLE GREEN& PINK
VENUE::AFRICAN DREAM (DODOMA)
MC::KIDE
BURUDANI::ISHA MASHAUZI & KHADIJA KOPA
DESIGNER::DORIS FASHIONS

                   KIBANDIKOOOOO…..swagga za kiroyal

                 JIUGONJWAAAA….ILIKUWA NI KITANDA NA UNGO WENYE MAVEGETABLE

                                                  

ISHA MASHAUZIIII& MAMAAKE……NA KHADIJA WALITUNYONGESHAAA MNOOOOO

KIVAZI CHA BIHARUSI NA MATRON KIMEUNDWA NA  DORIS FASHION
ISHA MASHAUZIII…..NDO ALIKUWA ANAMSAIDIA MAMA KUMFUNZA MWANA…MAMA NIPE RADHIIII, KUISHI NA WATU KAZIIIIII……

                                                 

                                                        AHSANTENI KWA KUJA

KINYWAJIIII MLIPUKO KILIFUNGULIWAAA KWA MBWEBWE NA ISHA MASHAUZIIII

RED CARPET……ZULIANIIIII

                                                   HAYA MAMBO YA ROZELLA

VIVAZI VYA MHESHIMIWA CATHY SHOTO  BY DORIS FASHION , WAKATI MHESHIMIWA MUHONGA KIMEUNDWA NA EVE COLLECTIONS

SHUKRAN::FINA WA MKOA NA MHESHIMIWA CATHERINE MAGIGE xoxo

8 Responses to “ JACQULINE KITCHEN PARTY ”

 1. Anonymous

  wow !! beautiful, nafurahi kukuona my sis loveness,wakilisha DC….lol !!
  mdau-DC

  Reply
 2. Anonymous

  shamim weka picha yako ful nikuone mwanakwetu,nnaweza nikapata mshono…lol !!najua ulikimbiza
  mdau

  Reply
 3. Anonymous

  Shamim kila ukipiga picha una weka kashingo chako upande, na siku zote unataka upigwe upande wako wa kulia wa uso, tupe siri bi dada…KKW…LOL

  Reply
 4. Anonymous

  Shamim ulishona wapi umependeza naungana na mdau hapo weka full tukuone shoga twaweza pata mshono

  Reply
 5. Anonymous

  I see that Shamim’s designs are more or less the same in all her kitchen party dresses,practice what you preach beautiful!!

  Reply
 6. Anonymous

  Shamim hapendi kuweka picha mpk chini maana sometimes anachemshaga sana kwenye viatu!! sijawahi kumuona na kiatu kizuri zaidi za zile KT za kijani alizonunua kwa Olivia(VIATUZI)

  Reply
Leave a Reply
Your email address will not be published.
 • ( will not be published )