Mambo haya utayapata Arusha pekee.....ndo makaribisho haya AICC,katika hili kongamano la Masekretari

Mambo haya utayapata Arusha pekee…..ndo makaribisho haya AICC

tapsea1tapsea3
Usajili  unaendelea.itifaki zote zinazingatiwa

Usajili unaendelea.itifaki zote zinazingatiwa

Mama Tunu Pinda ,mke wa waziri mkuu ndio mgeni rasmi

Mama Tunu Pinda ,mke wa waziri mkuu ndio mgeni rasmi

Mama Tunu Pinda mke wa waziri mkuu, ndiye mgeni rasmi katika kongamano hili linalojumuisha masekretari kutoka ofisi mbalimbali za binafsi na serikali nchini linalofanyika katika ukumbi wa kimataifa AICC

tapsea mgeni rasmi        Mwenyekiti wa TAPSEA , Pili Penda  akimkaribisha  Mama Tunu Pinda ambaye nae alikuwa sekretari kama kazi yake ya kwanza

hakuwa peke yake amesindikizwa na kipenzi chetu 'wanawake' (pindi akaribishwapo asiti jumuika nasi), Naibu waziri wa Sheria na Katiba ,Mheshimiwa Angella Kairuki

hakuwa peke yake amesindikizwa na kipenzi chetu ‘wanawake’ (pindi akaribishwapo asiti jumuika nasi), Naibu waziri wa Sheria na Katiba ,Mheshimiwa Angella Kairuki

Na aliongozana na Mheshimiwa Sophia Simba ,waziri wa wanawake  nae hakutucha hivi hivi, baada ya kutueleza nae alianzia kwenye usekretary akatupa ujumbe kwa wanawake.....Na naomba niuwasilishe kama ulivyo 'women celebration Oyeeee'

Na aliongozana na Mheshimiwa Sophia Simba ,waziri wa wanawake nae hakutucha hivi hivi, baada ya kutueleza nae alianzia kwenye usekretary akatupa ujumbe kwa wanawake…..Na naomba niuwasilishe kama ulivyo ‘women celebration Oyeeee’

ALISEMA , WANAWAKE TUACHE UKATILI KWA WATOTO NA PIA TUANGALIE WATOTO NA KUWALEA VYEMA TUKO BUSY SAAAAANA NA KAZI, ALISEMA TUPATE NAFASI YA KUWALEA WATOTO NA AKAMALIZA KWA KUTUAMBIA KUWA YALE MASUALA YA KUWAJALI SAANA KINA BABA KWA KUWABAKISHIA MIPAJA NA MISOSI MLIMA HUKU WATOTO TWAWAPA MIGUU NA VIPAPATIO SIO KABISA, kwanza kina baba hupita grocery, tuache jipendekezaaa na tuwajali watotoooooo zaidi.

Mtoto wa Ilala 😉 umenifurahisha nakualika rasmi women Celebrations 2014 mungu akitujaalia kwani unamengi ya kutuambia wanawake.

bila kusahau kulikuwa na Mama mlezi wa TAPSEA , Mheshimiwa  Mary Nagu, ambae tulikuwa nae pia mwaka jana Mwanza

bila kusahau kulikuwa na Mama mlezi wa TAPSEA , Mheshimiwa Mary Nagu, ambae tulikuwa nae pia mwaka jana Mwanzatapsea11

Na kongamano likaanza rasmi

Na kongamano likaanza rasmi, Ndani ya Arusha By Night

Mwenyeji alikuwa nikaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella

Mwenyeji alikuwa nikaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella

tapsea6
Hakika ukumbi umefurika Makatibu Muhtasi zaidi ya 1300 wamehudhuria kongamano hili linalofanyika kwa mara ya tatu mfululizo mwaka jana tulikuwa Mwanza

Hakika ukumbi umefurika Makatibu Muhtasi zaidi ya 1300 wamehudhuria kongamano hili linalofanyika kwa mara ya tatu mfululizo mwaka jana tulikuwa Mwanza

Kibonge ndio msema Chochote kama Kawaida . Na Maulid wa Kitenge tunae pia (ntakuonesha baadae)

Kibonge ndio msema Chochote kama Kawaida . Na Maulid wa Kitenge tunae pia (ntakuonesha baadae)

Picha hii namuona Mama Tunu  katokea km wakwe za kate kasoro kibandiko

Picha hii namuona Mama Tunu katokea km wakwe za kate kasoro kibandiko

                             ZULIANI……GREEN CARPET…..ONJA

GREEN CARPET ;)

GREEN CARPET ;)

TANDAZA HAWAKWEPEKI, NILIPENDA WA ARUSHA HAWATANDAZI CHINI WANAWEKA MEZANI ;)

TANDAZA HAWAKWEPEKI, NILIPENDA WA ARUSHA HAWATANDAZI CHINI WANAWEKA MEZANI ;)

redcarpettapsea rdtapsea redcarpettapse1a tapsea7 tapsea8 tapsea tapsea3 tapsea2 tapsea3

30 tapsea tapsea5 tapsea6 tapsea10 tapsea11 tapsea12 tapsea13 tapsea14

tapsea15 tapsea16 tapsea17 tapsea18 tapsea19 tapsea20 tapsea21 tapsea22 tapsea23 tapsea24 tapsea25
Haica Kimamb, Da Ted Umemuona Landrada ...Morosex ;)

Haica Kimamb, Da Ted Umemuona Landrada …Morosex ;)

tapsea27 tapsea28 tapsea29

tapsea38 tapsea37 tapsea36 tapsea35 tapsea34 tapsea33 tapsea32
Mwenyekiti na Katibu wa TAPSEA

Mwenyekiti na Katibu wa TAPSEA

tapsea46 tapsea45 tapsea44 tapsea43 tapsea42 tapsea41 tapsea40
JULIET CLAUS nimetambua uwepo wako::BAZEE NDO DRESS CODE HUKU, KUTOKELEZEA NA BAZEE KAMA HIZI WASILIANA NA JULIET 0715887877

JULIET CLAUS nimetambua uwepo wako::BAZEE NDO DRESS CODE HUKU, KUTOKELEZEA NA BAZEE KAMA HIZI WASILIANA NA JULIET 0715887877

tapsea49

Aunt Mamu wa Ujenzi ;)

taps tapsea48 tapsea50 tapsea51 tapsea52 tapsea53 tapsea54 tapsea55 tapsea56 tapsea57 tapsea58 tapsea59

tapsea52 tapsea53 tapsea54 tapsea55 tapsea56
Mbonia, Happy belated Birthday from Mama, tutairewind Party ;)

Mbonia, Happy belated Birthday from Mama, tutairewind Party ;)

tapsea58 tapsea59 tapsea60 tapsea61 tapsea62 tapsea63

tapsea64 tapsea65 tapsea66 tapsea67 tapsea68 tapsea69 tapsea70 tapsea71 tapsea72 tapsea73 tapsea74 tapsea75 tapsea76 tapsea77 tapsea78 tapsea79 tapsea81 tapsea82 tapsea83

ar

NILIJIGUNDUA NIKO ARUSHA….kwa swag hz

tapsea80

HAIR DO…..natural hair

hairdo hairdo1 madini

mtu alishashuka tayari.....msaada kwenye tuta ;)

mtu alishashuka tayari…..msaada kwenye tuta ;)

NYENGINE ZAJA………USIBONYEZE KIDUDE, BAZEE ZIMENIGUSAA 😉

PICHA SHUKRAN:: MTAA KWA MTAA ‘OT’

Leave a Reply
Your email address will not be published.

You must be logged in to post a comment .