Kila mwanamke huwa anaiwaza harusi yake na kufikiria nini  anataka kiweje na vipi anataka iwe,(hata akiwa  hana hata mchumba) nimeanzisha hii post ya MY WEDDING/HARUSI YANGU kwa yeyote awazaye harusi yake VP ANATAKA IWE NINI ANAWAZA KIWE  awe ananirushia picha  chochote kihusucho harusi  Anachopishana nacho iwe pichani hata mawazoni na vp angependa iwe, ukizingatia Kijiwe hiki maharusi wengi hupita kutapa idea ni katika wigo wa kupanuana mawazo tunilianza na PETE ,CAKE ZILIZOPITA CHUNGULIA

MY WEDDING/HARUSI YANGU

LEO TUANGALIE:MUSLIM BRIDE HIJAB

 

hijab wedding7 hijab wedding8 hijab wedding9 hijab wedding16
hijab wedding12 hijab wedding15 hijab wedding3 hijab wedding5 hijab wedding18 hijab wedding10

 

hijab wedding19 hijab wedding4 hijab wedding14

Creditor:: modern fashion hijab

3 Responses to “ MY WEDDING/HARUSI YANGU ::MUSLIM BRIDE HIJAB ”

Leave a Reply
Your email address will not be published.

You must be logged in to post a comment .