FLASHBACK SATURDAY::2015 BONGO FASHIONISTAS WE LOVED

Loved this post,niliiandika kwa moyo wangu wote and i wanna flash it back with you wadau,am looking forward kuandika ya mwaka huu 21016

Kabla mwaka haujaisha huu wa 2015 naomba kuwaleta kwenu fashionistaz ambao kwa mwaka huu wa 2015 tulipenda styles zao,na tumekuwa pia tuki share mionekano yao kwa mwaka huu na tungependa kuona more styles from them kwa mwaka 2016.List hii hapa na iko in no particular order .

lets golulu2

ELIZABETH MICHAEL

So kwa mwaka huu Lulu kwakweli amekuwa aki slay one dress after another .Kwenye evening dresses kwakweli Lulu haja disappoint  amekuwa akirock the red carpets with confidence and with amazing dresses too.She is good kwa casual wear pia sana tu ila sio kama the way anavyo tinga hizi dresses za usiku kuanzia make up, gowns ,the shoes anakuwaga perfect.

Ni mtu ambae unajua kabisa akiwa na mtoko anachukua muda kujiandaa maana she always look great .

we are looking forward to see more style from you on 2016.

lululavidoz4-683x1024

LAVIDOZ

Wengi wamemjua Lavido kwenye blog yake aloanzisha mwaka huu wa 2015 ,na tangu ameanza kublog ameonyesha uwezo wake wa kustyle vivazi mbalimbali na kama wafatilia blog yake utajua kuwa anapenda sana shoes and bags ,na wengi wakifananisha style yake na blog wa majuu Stella wa Jodore Fashion.Kwenye blog yake amebase kwenye personal style haswaa akionyesha vivazi kuanzia vya kazini,casual wear,evening wear ,ni mtu pia anae kwenda na trendz mbalimbali.

Ni fashionista ambae we are looking forward to see more of her styles in 2016.ll 10959049_427637754069590_7476135_n

JACQUELINE MENGI

Ni mmoja kati ya wanaovaa high end fashion kwa bongo nikimaanisha hapa no fake zones ,anapenda kuvaa na anajipenda haswaa ,ni mama wa mapacha and she looks amazing ameweza kujimaintain anavaa classy pieces always on point.

Jackie ni inspiration kwa wengi sio tu kwa wale tunaopenda fashion but hata kwa wale wanaotaka kuja kuwa wadada wanaojielewa kama wanavyomuita kwenye mitandao ya kijamii.

Jacqueline keep slaying even more in 2016 Cheers to the fashionable you.

JACKIEele

MINA AKINL

Ni fashionista wa ukweli she wear pieces ambazo wengi waweza vaa,ana boutique yake hapa bongo japo anaishi majuu,kwa mwaka huu we loved her looks especially zile casual wear.From Wide leg pants,shirt dresses,bodycon dresses ,na ana collection matata sana ya handbgas.

We cant wait to see ur style in 2016.ladiva

MILLEN MAGESE

For this year tumeshuhudia Millen akiwa strong na kua na campaign yake ya ENDOMETRIOSIS  na pia kupelekea kupata tuzo kwenye BET ya global good na ingine alipata juzi kati huko Nigeria.

Kwenye mambo ya fashoon she has been slaying kuanzia kwa runways ,magauni ya usiku,bikini,casual looks .We love her designer bags nae ana killer bag collections also shoes .

Ana accesorize sana mionekano yake with scarfs ,capes,turbans,Sunglases ,nice watches nk.Definately kati ya watu walotu inspire sana kwenye fashion kwa mwaka huu 2015 ,2016 here we come.

milln1516756_1663648273892746_1184579245_n

SWALHA MSABAHA

Speaking of ladies wanaofanya poa sana kwa fashoon Swalha huwezi acha kumtaja, mdada anatupia sana vitu vikali na fashion anaijua so hata ku style tu anastyle vizuri ukumuona lazima umu appreciate kuwa huyu fashion anaijua na anapenda kuvaa.

Feom heels,oxford shoes ,flats ,skinny jeans,full skirt,blazers you can name it all Swalha anajua kuvirock vyote hivi in a manner that utakuwa inspired nakupenda anavyotinga na kupangilia vivazi vyake.

Na mwaka huu alikuwa nominated kwa Swahili fashion Week kwenye Category ya stylish female personality of the year japoa kura hazikutosha am sure mwakani zitatosha keep doing you .She is a shoe addict and a bag lover.

Swalha keep slaying too kwa 2016.

cheers to the stylish you.

salha12362031_436064606587399_1166951599_n

JOKATE MWEGELO aka JOJO.

Mrembo Jojo kwa mwaka huu wa 2015 tumeshuhudia her dedication kwenye kuva vivazi vy designers wa hapa hapa nyumabani Tanzania amekuwa akitoa support kwao mara nyingi,Hadi kwenye tuzo za Kill Music kwa mwaka huu alivaa kivazi cha designer Pendo ambacho wengi tulikipenda and watu walikubali ubunifu huo wa Pendo,Jokate kuweza kumuamini Pendo na kumpa jukumu la kumvisha kwa tuzo kubwa kama hizi za Killi ni uzalendo wa kutosha,pia amekuwa akivaa sana vivazi vya Jacquescollection .Keep it up Jojo

cheers to the 2016.

J11023176_1598491937031262_59477997_n

MGECE MAKORY

She is a designer kwa lebel ya mgece designs and also a fashionista .Mgece ana uwezo wa kuvaa styles tofauti tofauti kwa ustadi mkubwa na swagg za kipekee ,pia ana jicho la nguo pieces zake nyingi ni nzuri na ni hizi za kawaida but how she rocks thm ana onekana ndani ya a million dollor outfit ,She has an amazing collection of bags iko siku ntamuomba ashee nanyi hapa.

We also love her african prints designs ambazo anazitengeneza in a very modern way na twist za swagg za kisasa.

mg12338838_725619500901568_228314221_n

JACQUELINE WOLPER

Where do i start with Jacque OMG huyu kuanzia tomboy styles anaweza kuting,chic looks pia yumo ,ni mrembo ambae styles zake haziko predictable nafikiri huwa anavaa according to her mood maana leo aweza vaa kama aenda kwa ofisi kesho yake akavaa kama a hip hop artist its just style and we love her for that.

Kingine nnachpenda kwa Wolper  is her hair game haogopi ku rock different styles ambazo wengine mwaweza shindwa kuzirock but she can pull them off .

Ni moja pia kati ya wasanii wanaopenda kuvaa nguo za designers wa hapa nyumabani especially Kiki Zimba,Lucky Creations,Mgece designs na Jacques collection

Jacque keep being fashionable in 2016.

wolper711254511_171276106551381_1125960845_n

ANNA MURO

Sheis an advocate by proffesion so huyu vivazi vile vy ki corporate hapa ndo sanaa tulishawahi kumfeature huku kwa blog mara kadhaa kama corporate chic na kama wewe unatafuta inspirtaions mbali mbali za kuvaa kazini i suggest you go see how she rock em work wear.

Anna kwa mwaka huu mpya unaokuja we hope to see more of ur style na style yako izidi kukua zaidi .11351641_497255840421554_327396794_npage

LYT 

Ni fashionista we discovered on instagram alikuwa recommended by friend ,Naweza sema since kipindi tulicho mfeature humu style yake kwa sasa imekuwa now she experiment with different types of styles ,anavaa trendy and timeless pieces which is good maana kwenda na fashion wakati wote haima anishi mtu ni fashionable but how you present ur looks ndo ina count .

Am so looking forward kwa mwaka 2016 tuone what you have in store for us  in terms of fashion.wih

VANESSA MDEE

Vanessa Mdee huwa namfananisha na Riri wana style flani hivi za kwako kwao,swagg na mikato flani amazing.Vanessa style yake huwa iweka kwenye neno moja maana saa nyingine anavaa ki rock and roll ,ki hip hop ,pop nk.

Ni msanii pekee ambae mikato yake ni ya anga zingine kabisa and she always look great kuanzia the hair,make up ,and she seem to be a shoe lover.

Being a petite kama Vee huwa kuna changamoto zake but yeye naona she is handing this very well kupata nguo zenye perfect fitting ,zinazo endana na mwili na style flani hivi ya ukweli.

12317481_398484120361481_739723299_n

Related Posts

Leave a Reply