Event

FLAVIANA MATATA BRIDAL SHOWER AT THE BEACH

By  | 

BRIDE :: FLAVIANA MATATA

EVENT ::BRIDAL SHOWER

VENUE :: LAZY LAGOON ISLAND

ORGANISED BY ::SMILEY KIDS EVENT

DRESS CODE :: ALL WHITE 

THEME:: BRIDAL SHOWER  AT THE BEACH

flaviana matata bridal shower at the beach

SELFIE WITH THE BRIDE TO BE

flaviana matata bridal shower at the beach-2 flaviana matata bridal shower at the beach-4 flaviana matata bridal shower at the beach-5 flaviana matata bridal shower at the beach-7 flaviana matata bridal shower at the beach-8

flaviana matata bridal shower at the beach-11

MKUBALI TU HALI HALISI ni hii mzigo wa kula……huku kubebwa muhimuuu

flaviana matata bridal shower at the beach-12

flaviana matata bridal shower at the beach-13

FMF FLAVIANA MATATA FOUNDATION  ILIHUSIKA KIMTINDO , MNAKUMBUKA ILE KAMPENI YETU YA KUGAWA MABOYA….TULIFURAHI KUVAA KUWA MABOYA USAFIRI SALAMA MAJINI

flaviana matata bridal shower at the beach-14

NA TULITINGA KISIWANIIIIII

PAZURIIII YANI PICHA TU INAKUPA AMANI YA MOYO

flaviana matata bridal shower at the beach-15 flaviana matata bridal shower at the beach-16

flaviana matata bridal shower at the beach-17

WENYEJI WETU LAZY LAGOON ….HAO MBWA NI VERE FRIENDLY shost alikuwa kila akikutana nao wanabusu mi sikuwa na muelewa…hoby za kizungu

 flaviana matata bridal shower at the beach-18

MAPOKEZI …..NI KWA GLASS YA JUICE

flaviana matata bridal shower at the beach-19

MBWA NAE KAMGANDA FLAVY 

flaviana matata bridal shower at the beach-20

flaviana matata bridal shower at the beach-21

NA PARTY ILIANZA

#FLAVYBRIDALSHOWER #BRIDALSHOWERATTHEBEACH

flaviana matata bridal shower at the beach-25

NI SWAGGA TU ZA BEACH #BEACHTINGZ

flaviana matata bridal shower at the beach-22

flaviana matata bridal shower at the beach-26

MIWANI YAJIELEZA #TEAMBRIDE

flaviana matata bridal shower at the beach-27 flaviana matata bridal shower at the beach-28   flaviana matata bridal shower at the beach-31 flaviana matata bridal shower at the beach-32

flaviana matata bridal shower at the beach-51

POZI ZINGINE TUWAACHIE MAMODEL

flaviana matata bridal shower at the beach-52 flaviana matata bridal shower at the beach-53 flaviana matata bridal shower at the beach-54 flaviana matata bridal shower at the beach-55

MHUSIKA MKUU MMEMUONA NA POZI ZAKE 

flaviana matata bridal shower at the beach-56 flaviana matata bridal shower at the beach-57 flaviana matata bridal shower at the beach-58 flaviana matata bridal shower at the beach-60

BAADA YA KUMALIZANA NA BEACH TINGS TUKAHAMIA HUKU

FOR TEA BREAK NA SWIMMING POOL KUJISUUZA 

flaviana matata bridal shower at the beach-62 flaviana matata bridal shower at the beach-63

MKAO WA KIKE SIO MSICHANA UNAKAA MIGUU VWALAAA

flaviana matata bridal shower at the beach-64 flaviana matata bridal shower at the beach-65 flaviana matata bridal shower at the beach-66

flaviana matata bridal shower at the beach-67

flaviana matata bridal shower at the beach-74 flaviana matata bridal shower at the beach-75

flaviana matata bridal shower at the beach-69

WAKATI TUKIJISUUZA KWA SWIMMING POOL BAADA YA CHAI YA JIONI  MAMAA HILDA WA SMILEY KIDS EVENTS ALIKUWA MZIGONI KUTUANDALIA SEHEMU YA DINNER…..

flaviana matata bridal shower at the beach-71

flaviana matata bridal shower at the beach-72

flaviana matata bridal shower at the beach-78 flaviana matata bridal shower at the beach-79

NDO MAANA TULICHAGUA KISIWANIII JUA LINAZAMA TWALIONA WAKATI HUO SMILEYKIDSEVENTS WALISHATUANDALIA MANDHARI TUKAENDA BADILI FOR #FLAVYBRIDALSHOWERDINNERATTHEBEACH

flaviana matata bridal shower at the beach-80

flaviana matata bridal shower at the beach-81

READY FOR FLAVIANA MATATA BRIDAL SHOWER DINNER AT THE BEACH

flaviana matata bridal shower at the beach-88 flaviana matata bridal shower at the beach-89 flaviana matata bridal shower at the beach-90

KIVAZI ON POINT SHUKRANI KWA ZE STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA

flaviana matata bridal shower at the beach-91

DETAILS 

flaviana matata bridal shower at the beach-92

BLING BLING

ILIKUWA ALL WHITE HADI KUCHA NATANIA

LUVY

flaviana matata bridal shower at the beach-93

flaviana matata bridal shower at the beach-94

TEAM BRIDE BAAABBYYY

flaviana matata bridal shower at the beach-99flaviana matata bridal shower at the beach-100 flaviana matata bridal shower at the beach-101 flaviana matata bridal shower at the beach-102 flaviana matata bridal shower at the beach-103 flaviana matata bridal shower at the beach-104

PATA MUONEKANO UTAWAJIA MSIJALII

flaviana matata bridal shower at the beach-105 flaviana matata bridal shower at the beach-106 flaviana matata bridal shower at the beach-107

flaviana matata bridal shower at the beach-108 flaviana matata bridal shower at the beach-109 flaviana matata bridal shower at the beach-110

MADAM STYLIST ROSEMARY KOKUHILWA ‘FASHIONJUNKII’

flaviana matata bridal shower at the beach-112

flaviana matata bridal shower at the beach-113

DINNER TIME

flaviana matata bridal shower at the beach-114 flaviana matata bridal shower at the beach-115

MENGINE TUWAACHIE BABA NA MAMA….YA LAZY LAGOON YABAKI LAZY LAGOON

 SIO KWA VICHEKO HIVI LOOOHH

flaviana matata bridal shower at the beach-116 flaviana matata bridal shower at the beach-117 flaviana matata bridal shower at the beach-118

flaviana matata bridal shower at the beach-119

THE MOMENT I HATE flaviana matata bridal shower at the beach-120

flaviana matata bridal shower at the beach-121

BAADA YA DINNER …KULIKUWA NA SUPRIZE BURUDANI KUTOKA LAZY LAGOON STAFF, WALITUIMBIA NYIMBO TOFAUTI ZA KUMSIFU NA KUMUANDAA MWALI WETU . KUMFUNDA flaviana matata bridal shower at the beach-125 flaviana matata bridal shower at the beach-126

SHUGHULI ZA JIGAUNI MBURUZOO NDO HIZI UKICHEZA SHURTI ULIWEKE MKONONI 

flaviana matata bridal shower at the beach-127 flaviana matata bridal shower at the beach-128

flaviana matata bridal shower at the beach-131 flaviana matata bridal shower at the beach-134flaviana matata bridal shower at the beach-136

SI KISIWANI BWANA EEHH MDUARA ULIHUSIKAA HASWAA

flaviana matata bridal shower at the beach-137

CHEERS…..TO THE…… MRS TO BE

flaviana matata bridal shower at the beach-138

UKAFIKA MUDA KATA CAKE TULEEE …JIUGONJWA….

flaviana matata bridal shower at the beach-139

flaviana matata bridal shower at the beach-141

BAADA YA DINNER TUKASOGEA PEMBEZONI MWA BAHARI MAHSUSI KWA KUOTA MOTO

BONFIRE!!

flaviana matata bridal shower at the beach-142

0
HeartHeart
0
HahaHaha
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

12 Comments

 1. Anonymous

  August 7, 2015 at 9:47 am

  http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/plugins/wp-monalisa/icons/wpml_heart.gif

 2. OLIVA

  August 7, 2015 at 10:09 am

  Hongera Flavy Mungu akutangulie kwa kila jambo! wote mlipendeza na nyuso za furaha

 3. Lulu

  August 7, 2015 at 10:43 am

  Hakika mlipendeza warembo. Umoja ni nguvu Mungu awazidishie kupendana na kuthaminiana, majungu tupa kuleeee

 4. Ruth

  August 7, 2015 at 11:25 am

  Wow great 📷📷 shughuli imepangiliwa Vizuri..Good luck Mrs to Be Flavy

 5. Anonymous

  August 7, 2015 at 2:48 pm

  some moments aaawwww….hongera sana Flavy, may God bless you new life xoxo

 6. DISMINDER ORG

  August 7, 2015 at 2:55 pm

  unforgetable day ever!!
  nawaombea Mungu awatangulie na kanda ya Ziwa all will be well Insha’Allah.

  your x hubby is kuumwaling huku.

 7. kaky

  August 8, 2015 at 3:01 pm

  It was incredible. You all looked good and had so much fun. I love the idea.

 8. phii

  August 8, 2015 at 4:46 pm

  Ladies y’all looked gorgeous..and shamy mijineno yako.. utamu hadi kuninogea..God bless yu mrz to be

 9. Rachel samwel

  August 8, 2015 at 7:50 pm

  Hongera flaviana na nyote mliomsapot, hakika shuhuli ilikuwa kuntu good idea,

 10. DM

  August 10, 2015 at 7:55 am

  Shamim naomba uniambie rangi ipi unaweka kwa nywele na brand, asante sana.

 11. Anonymous

  August 10, 2015 at 3:29 pm

  mlinoga balaaa mmependeza mnooooooooooooooooooooooooooooooooo

 12. Pingback: OFFICIAL PICTURES ::DEO & FLAVY WEDDING | 8020Fashions Blog

Leave a Reply

%d bloggers like this: