Fashion

PATA MUONEKANO WANGU NDANI YA PERSONALIZED CONVERSE ALL STAR SNEAKERS

By  | 

V NECK TEE SHIRT & RIPPED SKINNY JEANS :THE GLAMOROUSFASHION

THE GLAMOROUS FASHION, WAKO SINZA MAPAMBAN0 ,

SIMU YAO +44 7533 26 60 14 (WHATS UP INAPATIKANA )

INSTAGRAM ::@THEGLAMOROUSFASHIONS

PERSONALIZED ALL STAR SNEAKERS:A GIFT FROM A FRIEND

HAIR DO:IG @MAZNATBRIDAL

SIMU YAKO:: +255783444470/ +255752444470

PICTURE THANKS ::

ABDUL WA PIXELABASE

CALL ::+255 658 822224

INSTAGRAM ::@ ABDUL8819

WEBSITE ::www.pixelbase.co.tz

get my look pata muonekano wa shamim mwasha-11 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-12

get my look pata muonekano wa shamim mwasha-5 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-6 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-7 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-8 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-9 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-10 get my look pata muonekano wa shamim mwasha get my look pata muonekano wa shamim mwasha-2 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-3 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-4 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-13 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-14 get my look pata muonekano wa shamim mwasha-15

Kwa wale wa kuchanja kadi ingia humu

0
HeartHeart
0
HahaHaha
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

15 Comments

 1. Anonymous

  August 13, 2015 at 7:36 am

  Muonekano huu hapana dear. Ule wakismart ndio mpango huu Not so much

 2. Luccie

  August 13, 2015 at 9:15 am

  Wow…You look so nice and Stylish….Kizuri kula na wenzio haya na sie twaweza pataje hizo personalized converse

  • Shamim Mwasha

   August 13, 2015 at 3:11 pm

   shukran, nadhan ukiagiza duka la converse wanakuandikia…zangu zimetoka New York http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/plugins/wp-monalisa/icons/wpml_yahoo.gif

 3. OLIVA

  August 13, 2015 at 9:36 am

  Umependeza sanaaaa hadi raha simalizi kuangalia picha

 4. Pauline

  August 13, 2015 at 4:19 pm

  U wii Shamimu nakupenda bureeee, hata uvae guni unapendeza mpendwa. Bigup to you mama la mama yani sina hata la kusema aisee

 5. Charity

  August 13, 2015 at 5:23 pm

  Umependeza sana na hiyo jeans na tshirt imekutoa pia we ni mrembo sana yani ni mzuri

 6. Lulu

  August 13, 2015 at 11:30 pm

  Tukimbize tu Mrs Nsembo wa ukweee. Kichaa cha sasa wala hakisubiri mwezi mchanga unakipandisha tu muda wowote uutakao hasa kwa picha hizi mmhh njia ya mirembe lazima tuitafute. Tunaotapika haya tunaoharisha haya bidada kwa raha zako mwali mwalikwa hutetereshwi na kelele za chura. Tumebaki kama wafa maji tunapapatika kama kuku mwenye mdondo hatuna jipya kila siku hayo hayo shenzi taipu. Kweli jibu la mjinga ni kukaa kimya. I love you Shamim una akili sana I wish siku moja nikuone.

 7. Anonymous

  August 14, 2015 at 1:01 pm

  Shamim u look smart and classy…this is one of the best look .cant get enough of you…

 8. Anonymous

  August 14, 2015 at 1:37 pm

  umependeza sana mdogo wangu wa forest

 9. Mama Uwase

  August 14, 2015 at 8:43 pm

  Kupendeza Shamim ni kawaida.Chezea mrs Nsembo.Ni wewe tu nambari one.Siku moja inshaaallah lazima nikuone.

 10. M&MFASHIONBITES

  August 15, 2015 at 6:58 am

  Cute sneakers 🙂
  BLOG M&M FASHION BITES : http://mmfashionbites.blogspot.gr/
  Maria V.

 11. fatma sai

  August 15, 2015 at 1:16 pm

  Umependeza mnoo nakupendaga mnoo http://www.8020fashionsblog.com/wp-content/plugins/wp-monalisa/icons/wpml_bye.gif

 12. Anonymous

  August 17, 2015 at 4:30 pm

  Hizo nywele zimekupendezesha sana

 13. Irene. Ishumi

  August 18, 2015 at 8:54 pm

  Umenoga msg yaani hatari miss u wangu Mrs Nsembo original hapana chezea

 14. farida

  August 19, 2015 at 4:32 pm

  ukisuka unapendeza zaidi. looking god mrs Nsembo. nakupendaje. Allah akusimamie katika ndoa yako.

Leave a Reply

%d bloggers like this: