Pata Muonekano

PATA MUONEKANO ::DENIM PUMPSUIT

By  | 

DENIM JUMPSUIT::MSASANI CITY MALL

FLIP FLOPS/MALAPA/NDALA::MSASANI  CITY MALL

LIQUID LIPSTIC AINA YA POTION::cecylonlineluxuryboutique

INSTAGRAM:: @CECYLONLINELUXURYBOUTIQUE

WASILIANA NAO ::+255765977955

MY HAIR STYLE ::

NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET

#T444ZHAIRFOOD & NA PRODUCT NYENGINE MAHSUSI KWA NATURAL HAIR :: UTAIPATA BACKTOAFRICA , DAR FREE MARKET ,CHUMBA NAMBA 70

SIMU YA KUPIGA ::0784 418941 /0715434335

INSTAGRAM ::@8020FASHIONS

PICTURES THANKS ABDUL WA PIXELBASE

WASILIANA NAO :: 0658 82 22 24

INSTAGRAM @ABDUL PICHA MNATO

PBP_6016 PBP_6012

PBP_6018 PBP_6014 PBP_6024PBP_6033 PBP_6034

SHOP FOR A SIMILAR LOOK

0
HeartHeart
0
HahaHaha
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

13 Comments

 1. esther

  September 30, 2015 at 10:30 am

  we mzuri sana shamimu alafu unajua kuvaa unapendeza sana na nywele zako ulivyoziweka yani zinakutoa bomba

 2. OLIVA

  September 30, 2015 at 10:57 am

  wow! nilimiss sana #Pata muonekano wangu! umependeza sana

 3. Malkia

  September 30, 2015 at 3:14 pm

  Ni shiidahh

 4. esq

  September 30, 2015 at 8:44 pm

  Bei ya miwani ulioweka ni KATILI mangi…..cheeeeeee hela zote zipo NEC ujueeeeee.

 5. Isamba

  October 1, 2015 at 9:37 am

  Shamim umependeza,mnooooo

  Nimependa hereni zako,unaweza nipat details?nizipate wake na ni za usito gani?

  Keep it up,

  • Shamim Mwasha

   October 2, 2015 at 11:10 am

   HI Isamba

   Thanks
   hereni nilinunua Kasmani Uhindini uzito sikumbuki japo inategemea na gram wanauzaje kwa sasa ambapo ni laki moja plus. so upite huko itakuwa rahisi

   • Isamba

    October 28, 2015 at 10:15 am

    Asante Shamim,

    Barikiwa

 6. Janeth

  October 1, 2015 at 9:17 pm

  umependeza shoga, unatusaidia sana ktk fashion,unaweza niambia shamimu unapaka mafuta gani usoni na mwilini, kama nitahumudu nijaribu mana mkorogo umeniharibu. asante

  • Shamim Mwasha

   October 2, 2015 at 11:17 am

   Shukran Janeth

   Usoni napaka lamer na lancome Advance genifique , mwilini queen hellen cocoa butter /red fox olive oil butter na crez cocoa butter ambayo ni petroleum jelly na bio oil somtimes

   hope nimekujibu….

 7. Janeth

  October 4, 2015 at 5:37 pm

  hi shamimu, still nakusumbua je unazipata hizo product, na bei gani,na zote nimchana au usiku, na sabuni gani au shower gel gani,nisaidie mpendwa hali mbaya.asante

  • Shamim Mwasha

   October 5, 2015 at 9:55 am

   agiza kwa wauza vipodozi, sn cosmetics au zuri kwa kweli me natumia product tofauti izo za usoni ni vyema ungegoogle usome then ujue nini unahitaji me natumia ant aging zaidi

 8. asha.M.

  October 8, 2015 at 7:54 am

  Hi Shamim,

  Nimependa sana Muonekano wako wa kivazi cha jumpsui, I like it. Na hasa si mchoyo wa kutupa vijimambo vya muonekano wa kila siku

 9. Anonymous

  January 11, 2016 at 10:17 am

  shogaaaa, umepasahau hapa kwenye muonekano wako tupia vitu bassiiii

Leave a Reply

%d bloggers like this: