Pata Muonekano

TBT TO PATA MUONEKANO WANGU ”GML” ATHLETIC CHIC LOOK

By  | 

Post hii nayo ya pata muonekano ilibamba mnooo,jamani nani kamiss hizi series za Pata muonekano???share kwa comments below

SHIRT DRESS

BY UPS FASHION WEAR

WANAPATIKANA ::NAMANGA NEAR EDDO CHIPS

INSTAGRAM ::@UPS_FASHION_WEAR

WACHEKI ::0717 835222

MY HAIR STYLE ::

NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET

#T444ZHAIRFOOD & NA PRODUCT NYENGINE MAHSUSI KWA NATURAL HAIR :: UTAIPATA BACKTOAFRICA , DAR FREE MARKET ,CHUMBA NAMBA 70

SIMU YA KUPIGA ::0784 418941 /0715434335

INSTAGRAM ::@8020FASHIONS

NIKE AIR MAX 2015::

GIFT FROM FLAVIANA MATATA

MAKE UP

BY:: ME 

LIPSTIC ::OMBRE STYLE  MIX YA TOMFORD & MANJANO

INSTAGRAM:: @CECYLONLINELUXURYBOUTIQUE

WASILIANA NAO ::+255765977955

LUVTOUCHMANJANO POWDER :: @SHEARILLUSIONSAFRICA

PICTURE THANKS ::

ABDUL WA PIXELABASE

CALL ::+255 658 822224

INSTAGRAM ::@ ABDUL8819

WEBSITE ::www.pixelbase.co.tz

PBP_7640

STRONG GIRL 

PBP_7632

PBP_7647

 

LEGS FOR DAYS

 

PBP_7639

PBP_7644

GET MY LOOK

PBP_7637

KIDOGO POZI LA LEMUTUZ LITOKEE AM HUMBLED YOU KNOW

PBP_7650

PBP_7651

PBP_7649

0
HeartHeart
0
HahaHaha
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

15 Comments

 1. Addiah

  July 24, 2015 at 11:44 am

  I just love u da shamim

 2. OLIVA

  July 24, 2015 at 12:23 pm

  Umependeza sana! Watanyooka mwaka huu mana ndimu zimeisha wapelekeshe #Strong Girl!

 3. Mama Baby

  July 24, 2015 at 12:51 pm

  Umetishaa………………..

 4. Nsia

  July 24, 2015 at 1:53 pm

  pendeza saaana Da Zeze, mie penda wewe mnoooo….

  • mama Uwase

   July 24, 2015 at 7:08 pm

   yaani Shamim wewe ni mzuri. yaani hiyo miguu mimi sina la kusema. Sura nzuri, mtoto rangi nzuri. Mimi nakupendaga sana halafu wewe uko strong hadi raha.

 5. Anonymous

  July 24, 2015 at 4:06 pm

  Pendeza my best. Ww ndo mke unaejulikana. Unaweza anytime kuweka picha ya mume kwny insta na family inakujua. Hao mahara wapo wapo tu. Endelea kuweka heshma ya ndoa yako

 6. mama

  July 24, 2015 at 4:43 pm

  umependeza sana miguuuuuuu, legs for days, mengine tuwaachie baba na mama !!! the dress is so chick ! I loooove it…

 7. Asha Hashim

  July 24, 2015 at 7:48 pm

  Yeees strong girl in deed. Tunyoroshe tu mamaa zeze tutanyooka hata kwa kuvutwa na kamba, eti tunajidai tunafaili mirembe mbona tutajibeba mwaka huu wetu lazima turudi mirembe. Pendeza ile mbaya yaini mtoto mmmmbichi, endelea kutukimbiza tu, kwa muonekano huo hata sisi wa ulaya hatuoni ndani.

 8. Lulu

  July 24, 2015 at 7:53 pm

  Watasubiri sana kwa guu hilo huna mpinzani. Guu la haja yaani kumbe nguo zinaficha mengi tukimbize tuu dada nakuaminia ni vitendo tu kwenda mbele mwisho wa siku tutajua mchele upi na pumba zipi.

 9. Scop

  July 24, 2015 at 11:45 pm

  Guu guu tena labia Haswaaa, watasubiri sanaaaa

 10. lisamarie

  July 25, 2015 at 10:21 am

  Spectacular!!!!

 11. lisamarie

  July 25, 2015 at 4:42 pm

  Drop Dead Gorgeous!!!

 12. monifah

  July 25, 2015 at 5:00 pm

  wakuachey bwana mrs. nsembo yale makelele yote ni wivu tu hawana lolote

 13. tunu allen

  July 29, 2015 at 7:14 pm

  very beautiful..classic.

 14. Anonymous

  July 30, 2015 at 8:15 am

  I love u shamim kuna watu hawalali kwa jail yako watanyoooka tuuuu

Leave a Reply

%d bloggers like this: