MAKE UP

Mcheki Mrembo huyu anavyo transform/Glam Uso wake Aloungua kwa Make Up

By  | 

Shalom aliungua zamani tena vibaya sana tu ,ila anapenda sana make up na anafundisha huko you tube ,ana wa inspire na wengine kwamba huhitaji kuficha makovu yako kwa kujifunika ,ukisha jipenda na ile self acceptance basi waweza jiamani na kufata ndoto zako,walo walo ungua kama yeye hawatoki ndani wanaogopa ile yeye haishi kwa kujificha amepata comfort kwenye makeup.

mwaweza kumgoogle au kucheki story yake kwenye her youtube chanel.

0
HeartHeart
0
HahaHaha
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

Leave a Reply

%d bloggers like this: