Fashion

Yezzy Season 5 FALL 2017 READY-TO-WEAR

By  | 

Hii ni season ya 5 ya Kanye West huko kwa  New York Fashion Week,this season Kanye ame change sana no more homeless collection,kaonyesha denim zikiwa nzuri loose fit,kuna sweatshirt zilovaliwa na jeans,zingine kama dresses,over the knee boots,kuna fur pia.

mcheki instagram @kingalima

Huyu ndo Muslim wa kwanza pia ku run for Miss Minessota mwaka huu tuliandika story hapa 

Lakini alichotisha sana ni kumchukua hijabista model Halima Aden stood who out amongst a diverse group of her model peers in a long faux fur coat and her own hijab,kwenye miaka 20 hii waambiwa ni mara ya kwanza kwa New York Fashion week kuchukua model anaevaa hijab na kurepresent culture hii,Masha Allah Kanye ame fungua njia hopeful designers wengine wataendelea.

1
HahaHaha
0
HeartHeart
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

Leave a Reply

%d bloggers like this: