Mapishi

Jinsi ya Kupika Supu ya Kuku na Kuweka Juisi ya Chungwa

By  | 

Karibuni; Leo nakupa recipe nzuri kabisa ya kupika supu ya kuku. Pishi hili ni rahisi sana na wengi twaliweza.

MAHITAJI

  • Kuku 1/2 kg – kata vipande upendavyo
  • Punje 2 za kitunguu swaumu
  • Mahanjumati masala kijiko 1 cha chai
  • Pilipili Manga 1/2 kijiko cha chai
  • Udaha / Cayenne Spices 1/4 ya kijiko cha chai
  • Viungo majani kama giligilani, rosemary , bay n.k vijani vichache
  • Pilipili Mbuzi upendavyo na ni hiyari
  • Chumvi kiasi upendacho
  • Juisi ya Chungwa moja
  • Mafuta ya kula vijiko 2 vya mezani

Sasani vizuri ukaingia katika CHEFKILE RECIPES BLOG upate kujifunza jinsi ya kuipika na kujua mapishi mengine mengi.

0
Heart
Heart
0
HahaHaha
0
LoveLove
0
WowWow
Voted Thanks!

Leave a Reply

%d bloggers like this: