2018 Is Purple ,Pantone wameitaja Utra Violet Purple kama Rangi ya Mwaka 2018

Yes ni ule muda wa rangi ya mwaka ikiwa jana tu ndo Pantone wametangaza kwamba deep purple ndo itakua rangi ya mwaka 2018,inakuja baada ya Greenery ambayo imemaliza muda wake.

Da Khadija Mwanamboka your winning maana this is your color bae

Tuliandika article nzuri sana kuhusu color ya mwaka jana na kama ulipitwa tujikumbushe kidogo ilivyokua kwa ku click hii LINK 

greenery for 2017

kwa mwaka 2018 ni PANTONE 18-3838 Ultra Violet

Inventive and imaginative, Ultra Violet lights the way to what is yet to come

Pantone called the 2018 color “dramatically provocative and thoughtful” in its announcement.

Ultra violet “communicates originality, ingenuity, and visionary thinking that points us towards the future,” said Leatrice Eiseman, Pantone’s executive director.

Pantone’s color of the year has been running since the year 2000 — past winners include “honeysuckle,” “marsala” and “sand dollar.”

PURPLE WEDDING

Kwenye Harusi waka 2018 tutakua tunaona decor za purple,bouquets,decorations etc

Bouquet

wedding dress

alter 

bridal sneakers 

flower walls

PURPLE IN FASHION FROM SS18 FASHION WEEK RUNWAYS

Designers wanakuaga wanatonywa au wana maono????maana wengi tu walikua na purple collections kwenye fashion week

La Perla Spring 2018

Tom ford 18

Celebrities who wore purple before it was named color of the year 218

Hillary Clinton

Model  Karlie Kloss

Reese Witherspoon

Karrueche 

Home decor

wale kila mwaka mnabadili furniture’s well he are the insoiration

wall art/pictures zaweza kua purple

wall paper waweza weka ya purple

au ukapiga rangi ya nyumba purple

Street styles during fashion week,fashionistas mbalimbali wakiwa wamevaa purple

Miss Universe  Jamaica  2017

Kwenye mambo ya beauty purple iko hivi from hair,nails,makeup you name it 

 

 

hair color

Mwanamuziki marehem Prince alijulikana sana kwa mapenzi yake ya rangi hii ya purple na alikua na wimbo unaoitwa PURPLE RAIN ambao ulipendwa sana na bado wapendwa hadi sasa

Yeye mwenyewe alikua pia akipendelea kuvalia nguo za rangi ya purple

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.