4 Models Walked Victoria’s Secret fashion 2016 with their Natural Hair,Mtanzania Herieth Paul nae Yumo

Mwaka jana ndo ilikuwa mara ya kwanza kwa model Maria Borges ku walk the show akiwa na natural hair ,which ilishangaza watu sababu ilikuwa ukiongelea Victoria’s Secret hair unaongelea  you mean voluminous, waves etc but uongozi uli kubalia Maria kuwa na natural hair siku ya show.

 

But mwaka huu Models wanne waliweza ku rock natural hair zao wenyewe kwenye show.It’s amazing kwamba sasa hivi Natural hair ,bodies type zote zinapewa uhalisia wake.

Victoria’s Secret Fashion Show stylist Sarah Potempa will be embracing each woman’s natural hair texture.

Our very own Herieth Paul

Maria Borges ,Jourdana Phillips na Herieth Paul

they all had something in common NATURAL HAIR

Herieth with her Afro,proudly rocking her kipilipili

Jourdana na Blonde hair

Maria amekuwa akivaa wigs miaka yote but mwaka jana aliamua kubadilisha na kuomba uongozi kumkubalia ku rock natural hair zake

Alanna Arrington,japo sio kipilipili but loose locs

Related Posts

Leave a Reply