62 and Fabulous ,Super Model Iman ndani ya Dera na lemba at the premiere of Black Panther in New York

Mtu unajiuliza how is it possible mwanamke wa miaka 62 looks good kuliko wa miaka 25 au 30 sababu am sure mbali na kua she is super rich,Iman ni mwafrika wanasema black dont crack,she takes a good care of herself pia.

Amerudi kwenye limelight baada ya mwaka jana January kufiwa na mume wake mwanamuziki David Bowie.

Kila mahali sasa hivi its all about Black Panther ,so naturally alienda na yeye kutoa support and see what’s all the fuss about

Her choice of outfit ndo ilinivutia hakutaka kubanwa na kukosa raha ,she opted for a more flowy ,relaxed dress  ambalo ni dera la sequins na bonge ya kilemba.

Akiwa nje alivaa na koti its winter huko kwao

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.