THROWBACK THURSDAY TO THE 6th ANNIVERSARY 8020 FASHIONS BLOG

MWAKA HUU 8020FASHIONS ITAFIKISHA MIAKA 10 ALHAMDULILLAH THIS JOURNEY  HAIKUWA EASY BUT WORTH EVERY SWEAT AND TEAR ,NIKISEMA TEARS NI ZILE TU CHALLENGES SIO LIKE MACHOZI KABISA 
BUT SIO MBAYA KUKUMBUKIA ANNIVERSARY YA MIAKA MITANO AMBAYO ILIKUWA MWAKA 2012,KIPINDI HICHO BADO DA SHAMIM ALIKUWA MAMA IQ BUT NOW MAMA WATATU ,MUNGU NI MWEMA
#GODWIN #NIKWANEEMATU

YESS!! LEO BLOG YENU YA 8020 FASHIONS IMETIMIZA MWAKA WAKE WA 6 TANGU IANZISHWE, NAOMBA NITOE SHUKRAN KWA MWENYEZI MUNGU, FAMILIA YANGU NA NYIE WASHABIKI WANGU PAMOJA NA NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI KWANI BILA NYIE 8020 FASHIONS SI KITU.

NINAFURAHA KUUBWA KUFIKA MIAKA HII SITA (6) KWANI SI KAZI NYEPESI PAMOJA NA CHANGAMOTO NYIIIIINGI, LAKINI PIA NINA MAFANIKIO MENGI SANA NIMEYAPATA KUPITIA HII BLOG, PAMOJA NA KUNIPA AJIRA MIMI SAMBAMBA NA VIJANA WENGINE TUNAOSAIDIANA KUENDELEZA LIBENEKE HILI BILA KUSAHAU BLOGGERS WENZANGU
NILIKUWA NA NINA NDOTO YAKUIKUZA  8020FASHIONSBLOG  KUENDANA NA TEKNOLOJIA MPYA ZINAZOBADILIKA KILA LEO DUNIANI, MBALI NA KUPOST PICHA TU NATAMANI SAANA KUITANUA ZAIDI,KUIBORESHA ZAIDI SAMBAMBA NA KUIFANYA 8020FASHIONSBLOG IPATIKANE KILA SEHEMU NA KWA KILA MTU
NA SASA 8020 FASHIONS BLOG
INAPATIKANA KIGANJANI MWAKO KOKOTE ULIKO KATIKA UBORA ULEULE
WA KOMPUTANI

 

PIA UNAWEZA KUSCAN HII BARCODE KUPITIA SIMU YAKO NA UKAIPATA 8020FASHIONS BLOG

 

MWAKA JANA NILIFANYA SHEREHE TULIPOTIMIZA MIAKA MITANO NA NILISHUKURU SAANA KWA SUPPORT MLONIPA NYINYI WADAU SAMBAMBA NAMAKAMPUNI YALIYOJITOKEZA KUSHIRIKIANA NAMI KATIKA KUTIMIZA NDOTO YANGU
NA KATIKA NDOTO ZANGU NILIZOKUWA NAOTA NILIKUWA NAWISH TUWE NA PRODUCT ZA KIAFRIKA MBALI NA KUVAA TU VITENGE NA KANGA PIA TUJIREMBE NAVYO AMBAPO BACK 2 AFRIKA
 ‘B2A’ BRAND ZIKO TAYARI NA SOON ZITAINGIA SOKONI

 

NDOTO NYINGINE NILIKUWA NAOTA NI YAKUWAKUTANISHA WANAWAKE PAMOJA WA KARIBA TOFAUTI TUTAKAO  KAA NA KUZUNGUMZA MAMBO YETU ,TULE  TUNYWE NA TUCHEZA PAMOJA SAMBAMBA NA KUBADILISHANA MAWAZO, NA KUSHARE UJUZI NA KNOWLEDGE MBALIMBALI TULIZONAZO SI WAJUA NILICHO NACHO MIMI WEWE HUNA NA ULONACHO MIMI SINA.
HIVYO BASI NIKAONA HATUNA BUDI YA KUKUTANA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI IWE SIKU YETU MAHUSUSI KUSHEHEKEA PAMOJA, KUSHAURIANA MAMBO MBALIMBALI YENYE MANUFAA KWA JAMII YETU ; MAANA UKIMUWEZESHA MWANAMKE BASI UMEIWEZESHA JAMII NZIMA.
WOMEN CELEBRATION IKAZALIWA
NA NAKUKUMBUSHA MAKAMPUNI,WAJASIRIAKALI AU WEWE  UNAYEPENDA KUSHIRIKIANA  KUWAKUTANISHA NA KUWAWEZESHA WANAWAKE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI AMBAPO TUTASHEREHEKEA TAREHE 3 MARCH MWAKANI TUWASILIANE
Call ::+255 784 418941  Email :: shamyomy@yahoo.com
HAPPY 6TH ANNIVERSARY
HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA
SHAMI MWASHA,’ZEZE’ MAMA IQ
XOXO

Related Posts

7 Comments

  1. Wow Wow!!! Hongera saaaaaaaana! and yes your blog is the best!. It’s one of the blogs that I am comfatable to send issues about me . From very looooooong time talking about 4 yrs since I started sharing my pictures with you Shamim. I love your blog 8020fashions.
    (LB) Atlanta USA.

Leave a Reply