Kiki Zimba ni Mwanamke wa shoka ,ni Mama,Mke ,Mjasiriamali etc,we love fit moms na Kiki ana work out na huwa she share her Gym looks on her insta page .
Her looks are always simple just a tank top,sneakers,leggings and head scarf.
Kwa Gym the first thing ni ku make sure your comfortable,so you need comfy sneakers
T shirts and Tank Tops
Socks pia ni muhimu ,naona kiki anapenda muziki so yake ur phone and the head phones Muziki utakupa nguvu ya kuendelea ku work out.
Leggings waweza mix ndefu na fupi pia but mwisho wa siku ni preference yako.
for more fun wear printed t shirts/tank tops amabazo zina inspirational words
DEUCES from me and Kiki