Mazoezi ya kupunguza Mikono bila kubeba chuma
11 0

Hamna mtu ambaye anapenda mikono minene may be mpo but am sure mikono minene kwa wengi inakera huweza hata vaa a sleeveless top or dress. Kila mtu anapenda toned arm,legs etc but huwa wengi tunafikiri kupata hizi lazima unyanyue chuma la hasha unaweza nyanyua madumu ya lita tano ya maji pia au lita mbili ni

A chit Chat with Carol Ndosi aka Queen Kunta  on her love for braids,Chucks and more.
1 0

Yes we love Carol Ndosi and tumekuwa tunafatilia her evolving style throughout the years,we love how ana fanya usizichoke braids na the way anapenda sana kuvaa chucks. So tukachat nae mambo mbalimbali yalikuwa mfumo wa maswali ambayo wengi walikuwa wanamuuliza na mie binafsi nilikuwa curious kujua mambo kadhaa kutoka kwake. On her love for braids 

MISHONO  #193
7 0

mid length kitenge dress kamshono katamuuu royal blue Baby pink ankara two piece  hizi skirt haziptwi na wakati  lace

Get All The Decorations You Need From Eunice Decors.
6 0

Eunice decors ndipo pa kwenda kama unataka decorations za kipekee. Kuan zia mapazia, saa, mito, mashuka, and so much more. Jionee mwenyewe kwa kuwafollow instagram. INSTAGRAM : @Eunicemjema WANAPATIKANA : SINZA MORE OPPOSITE SOKER SITE DUKA NO. 12 WASILIANA NAO : 0767 505794

African Print Kizibao for Men
13 0

Huwa naona Ma sheikh wengi wanavaa sana hivi vizibao akiwemo baba yangu ,hawezi vaa Kanzu bila hiki kizibao,ila bwana sijawahi ona cha African Print na nilipo ona hiki cha Mkurugenzi wa NIDA nilikipenda sana sana .Kitenge kizuri,cut nzuri kimemfit perfectly . He wore it with his white Kurta two piece aka accessorize na hiki kizibao,kibaraka

Jifunze Kitu kwenye ujumbe Mzito wa Faraja Nyalandu Kumhusu Melania Trump
25 0

Faraja Nyalandu anatufundisha kuwa humble ,tusikate tamaa,kumdharau au kujidharua wewe,tofauti na wengi waliokuwa wana mponda Melani Trump yeye amekuwa na mawazo chanya tu. Nafikir Faraja anamuelewa sana Mama Trump since nae ni mke wa kiongozi . Mwaka 1996, Melanija Knavs akiwa na miaka 26 aliingia Marekani akiwa na ndoto ya kuwa mwanamitindo. Jana, akiwa ni