A new way to style your off White Industrial Belt According to Sishkiki

Sishkiki moja ya fashionista hapa bongo  ,her style is unique ,kwa wabongo may be Vanessa Mdee ndo anaweza kua wanaendana style kidogo,sio mtu wa kuogopa ku explore different things kwenye fashion .

She makes trends look so good but also anavaa vitu tofauti into a way that hatufikirii kuvaa like that which is good and inspiring .

Moja ya trend kubwa za mwaka huu ilikua hizi Industrial belt za Off White,love the way she styled the belt.

Pleated Maxi dress au hii ni skirt maana ikiwa skirt kavaa kama gauni wala sitashangaa ,havai kama wote tunavyovaa she is EXTRA

paired her look with a black cute mini bag and strap sandals .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.