ACCESSORY OF THE DAY ::SEPTUM

rihanna-septum-piercing

Spetum ni accesory inayovaliwa kwenye pua ni kipini pia kama wanavyovaaga ila hiki niwavaa kwenye nostrill.So fashionista mbalimbali wanavitinga japo huwa vipo kwenye fashion siku zote havipitwi na wakati huwa tu vina trend vinapotea then vinarudi tena.

rihanna-id-magazine-1

Moja ya facts ya hizi spetum ni kuwa unatobolewe kama yalivyo maskio au kitovu na inauma.tumblr_nhebxzArK31rx4f45o3_1280

Wanasema inachukua wiki 6 hadi 8 kuweza ku heal ulipotoboa so inabidi ukae nacho tu hii inabidi uweke ukiwa likizo mana una anzaje enda nacho kazini kwa muda wa wiki nane.Na uzuri au ubaya huwa unapotoa tu kipini basi napo panajifunga haraka ,sio kama sikio ukitoboa ndo basi tena.030215-B-Real-Currently-Trending-Septum-Piercings-Hoops-Amber-Rose-2.jpg.custom1200x675x20

The after care ni simple tu leave it alone usichezee hiko kipini kiache tu maana ni rahisi kujijeruhi halaf nahisi kama chafya utazopiga ukikichezea we mwenyewe utakiacha.

3_kelis_septum

Interested???ukifanya yako usiache kushare experience yako1c50c46d986fcdd8121c1e5e0b4d0e89 SPETUM

zipo aina nyingi,gold silver hata za mpiraSeptum-FannyL2 septum_ring_westlaboutique2

kuna hii imeungwa kabisa na hereniinsta-med

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.