The New Stuff

334 Views

AFRICAN PRINT DESIGNS FROM KATTY COLLECTION.


Katty Collection wana materials zaAfrican print, lace nk. Ingia katika blog yao kujionea more mishono. Wasiliana nao ili uweze kujipatia material unazotaka, watakushonea pia design yoyote unayotaka, utaweza kupata African print bags, t-shirts and many more.

WASILIANA NAO :: +255 784273472, 255715273472

WANAPATIKANA ::MIKOCHENI BEHIND MASTER CLUB, DSM

WAFOLLOW INSTAGRAM :: @KATTYCOLLECTION

TEMBLELEA BLOG YAO :: www.kattycollection.com

Dada mboni looking good ndani ya African print dress kutoka kwa Katty collection, absolutely love the printed leaves kwenye gauni. N mtoto wake ukiangalia vizuri utaona jeans yake imewekewa the same print kama ya mama yake in some areas. #MotherSonFashion

b2

Frrican print hand bag kutoka kwa katty collection.

b4

More Afracan print dresses.

b3

b6

Recently Published

»

WALONOGA WIKI HII

Good Morning Karibuni kwenye Walonoga This dress deserve an ...

»

Wanafunzi Wapigwa Msasa Wa Elimu Ya Usalama Barabarani.

Wanafunzi wa shule ya Msingi Ushindi iliyopo mikocheni B jijini Dar ...

»

4 Ways to Wear The Blazer

The stylish ways to wear a ...

»

FLASHBACK ::What to Wear On Muungano Day

Yes kesho ni Muungano day as tarehe 26 April kila mwaka tuna azimisha ...

»

We Love Lavido’z Long Box Braids with Top Bun

We are loving this makeup look on you Lavido ,it’s so ...

»

Trending::Backless Loafers

The backless loafers are now trending,zilikuwepo miaka ya nyuma but ...

»

The one Time Khloe Kardashian Looked Red Hot in in a $655 Michelle Mason x Revolve Wrap Dress

Khloe Kardashian is on top of her game right now with her American ...

article image
»

New Egyptian Cotton Bedsheets Now Available At Indulgence Tz.

MASHUKA HAYA YAKO YA PURE COTTON SATEEN,EGYPTIAN COTTON YANA FITTED ...

»

Tuesday Mishono day

Mwezi huo unakaribia kuisha,tuna mishono hapa ambayo iko stylish na ...

»

Rita Dominic Slayed at the Schick Magazine Launch

Rita Ora has always been a slayer and one thing we are sure about ...