Airport Style :: Zuri ,Jacqueline Wolper and Kajala Masanja

Jana niliweka post ya Video ya Airport Style ,kuonyesha mionekano matata ambayo waweza kuvaa ukiwa una safiri.

Zuri looked super  stylish in her travel outfit

Nikaona pia Wolper na Kajala wali post insta walivyotua Arusha.

Kajala alibaa double denim na white t-shirt zilo match her white sneakers

Jacqueline Wolper alivaa ripped jeans na kitenge top with a pearl necklace

wengine nao mwaweza ona na style yao

Related Posts

Leave a Reply