Ali Kiba Atangazwa Mshindi wa Tuzo ya Mtv Base ,Na Wamekiri kulikuwa na Makosa yakapelekea Wiz Kid kupewa Tuzo hiyo

14624289_1785133361759562_2437724077436174336_n

So kulikuwa na sakata la mashabiki kusema kuwa Tuzo ya Mtv Ema alishinda Ali Kiba ila wakapendelea na kumpa  Wiz Kid ,kwanza naomba kusema sio kosa la Wiz kid kupewa tuzo sababu watu wanaenda kutukana sana kule jamani ifike mahala hii issue ya matusi ife haisaidiii.

So Mtv wenyewe wamekiri kwamba walikose kumpa Wiz Kid tuzo,na kwamba Ali Kiba ndiye mshinda halali na alishinda Public vote but wao walimselect Wiz Kid sababu ya categories ambazo hawakuziweka wazi.

Hawa watafanya watu wasiwe wanapiga kura kama walishachagua mtu tayari .

So sakata lilianza hapa mtvema-kiba

Vanessa Kampa hongera Ali Kiba14591070_1222919361080353_2375485062104743936_n

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.