All the best footwear from New York to London, Milan, and Paris.

According to Fashionable people these are Hottest Shoes Spotted On The Fall 2018 Runways .

Some shoes are a hit and misses ,vingine ni vya kuangalia tu and appreciate or nyali them from far.

Kitu kikubwa nilogundua ni kwama socks ziko in so in right now ,designers wengi wali include socks kwenye runways zao,viatu vingi walivaa na socks .

Kingine designers wengi wame focus kwenye comfort zaidi ,so mules,chunky ,kitten heels ndo habari ya sasa ,hamna mtu mwenye muda wa kuning’inia na heels whole day.

Altuzarra

Metallic zazidi kutamba

Balenciaga 

Balmain

love the see through na hizi studs 

fringe hadi kwa viatu chaaaa

Chloe

bonge la buti na socks za ku match

Gyvenchu

 

Lanvin

Poiret

style amazing ya Mules ,nimependa

Saint Laurent

Zile skonkiko za zamani zimerudi ,sio kwa gorofa hizi ,Lady Gaga yeye alishamaliza kuvaaa

Saint Laurent

hii sandal uvalie short skirt /dress au shorts sivyo kinafunikwa na utaficha uzuri wake

Marques’Almeida

Delpozo

Erdem

Christopher Kane

Dior

patchwork boots toka kwa Dior lakini ikiwa na ujumbe pia wa Peace and love

Dolce & Gabbana

such a statement shoes ,am loving this one

Hiki nacho ni Dolce & Gabbana but sijapenda mnajuaga zile socks eatu wanavaa vizito flani yani naona kama ndo wameziwekea tu mchuchumio basi

Gucci

this one kizuri as Mules ziko so in right now,zinapendeza na midi skirts/dress au boyfriend jeans

Jacquemus

Love the simple details kwenye hivi viatu

pointed pumps bado zinaendelea ,zimeongezewa tu vikorombwezo

Marni

Prada

Wedge nzuri sijapenda hizo kashkashi 

Versace

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.