TBT TO PATA MUONEKANO WANGU ”GML” ATHLETIC CHIC LOOK

Post hii nayo ya pata muonekano ilibamba mnooo,jamani nani kamiss hizi series za Pata muonekano???share kwa comments below

SHIRT DRESS

BY UPS FASHION WEAR

WANAPATIKANA ::NAMANGA NEAR EDDO CHIPS

INSTAGRAM ::@UPS_FASHION_WEAR

WACHEKI ::0717 835222

MY HAIR STYLE ::

NATUMIA SHEAR MOISTURE PRODUCTS UTAZIPATA BACK TO AFRICA CHUMBA NAMBA 70 DAR FREE MARKET

#T444ZHAIRFOOD & NA PRODUCT NYENGINE MAHSUSI KWA NATURAL HAIR :: UTAIPATA BACKTOAFRICA , DAR FREE MARKET ,CHUMBA NAMBA 70

SIMU YA KUPIGA ::0784 418941 /0715434335

INSTAGRAM ::@8020FASHIONS

NIKE AIR MAX 2015::

GIFT FROM FLAVIANA MATATA

MAKE UP

BY:: ME 

LIPSTIC ::OMBRE STYLE  MIX YA TOMFORD & MANJANO

INSTAGRAM:: @CECYLONLINELUXURYBOUTIQUE

WASILIANA NAO ::+255765977955

LUVTOUCHMANJANO POWDER :: @SHEARILLUSIONSAFRICA

PICTURE THANKS ::

ABDUL WA PIXELABASE

CALL ::+255 658 822224

INSTAGRAM ::@ ABDUL8819

WEBSITE ::www.pixelbase.co.tz

PBP_7640

STRONG GIRL 

PBP_7632

PBP_7647

 

LEGS FOR DAYS

 

PBP_7639

PBP_7644

GET MY LOOK

PBP_7637

KIDOGO POZI LA LEMUTUZ LITOKEE AM HUMBLED YOU KNOW

PBP_7650

PBP_7651

PBP_7649

Related Posts

15 Comments

    1. yaani Shamim wewe ni mzuri. yaani hiyo miguu mimi sina la kusema. Sura nzuri, mtoto rangi nzuri. Mimi nakupendaga sana halafu wewe uko strong hadi raha.

  1. Pendeza my best. Ww ndo mke unaejulikana. Unaweza anytime kuweka picha ya mume kwny insta na family inakujua. Hao mahara wapo wapo tu. Endelea kuweka heshma ya ndoa yako

  2. umependeza sana miguuuuuuu, legs for days, mengine tuwaachie baba na mama !!! the dress is so chick ! I loooove it…

  3. Yeees strong girl in deed. Tunyoroshe tu mamaa zeze tutanyooka hata kwa kuvutwa na kamba, eti tunajidai tunafaili mirembe mbona tutajibeba mwaka huu wetu lazima turudi mirembe. Pendeza ile mbaya yaini mtoto mmmmbichi, endelea kutukimbiza tu, kwa muonekano huo hata sisi wa ulaya hatuoni ndani.

  4. Watasubiri sana kwa guu hilo huna mpinzani. Guu la haja yaani kumbe nguo zinaficha mengi tukimbize tuu dada nakuaminia ni vitendo tu kwenda mbele mwisho wa siku tutajua mchele upi na pumba zipi.

Leave a Reply