Muziki::A.Y /Yashinski -More & More
2 0

When Nancy Sumari rocks  African touches in Davos Switzerland
2 0

Nancy Sumari yuko Davos Switzerland kuhudhurua mkutano wa World Economic Forum 2017 na alichaguliwa kuwa muongeaji katika mada ya  ‘Rethinking How Children Learn’ Nancy na mumewe Luca Neghesti wana foundation yao iitwayo Neghesti Sumari na alienda kuiwakilisha huko kwenye annua meeting . on the Economis Forum the global power brokers spend the week mulling over major world challenges and

Ladies and Gentleman First Lady of USA Melania Trump in Ralph Lauren for the Inauguration
9 0

Niliwa andikia on my speculation and wondering nani atamvisha Melania Trump leo na kati ya designers wote tulokuwa tunawahisi jina la Ralph Lauren yeye ndo jina tulipatia haswaaa. Yani leo hata wamarekani wamesahau machungu ya kuwachukia their first couple sababu Melania leo ametu suuza roho 👌👌👌👌 ,kwakweli kapendeza sana in her Baby blue Ralph Lauren

Alicia rocks African Prints turbans ,Wears Eye Makeup for the first in almost a year for Allure Magazine
7 0

Alicia Keys kama mwaka sasa aliamua kuacha kupaka make up na kuziachia nywele zake ,so basically to go natural ,na she aint playing,hii ni movement kwake kwamba yeye sio mtumwa wa makeup,ana amua kupaka au aache so wale wa ku body shame wenzao hapo ndo mnaposemwa na muonea aibu kila mtu ana right to wear

Muslimah Bridesmaids Dresses Ideas
13 0

Furahi day badala ya kukuletea hijabista of the day,kuna mtu aliulizia jinsi gani au ideas za kuwavisha birdesmaids wake ambao na wanavaa hijab,hakuataka wavae Abaya no wawe modesty but still wawe wamejistiri na kupendeza. Hope these will help. floor lengths dresses pencil peplum dresses  a little train Mash Allah Mettalics is in right now so bomb

Which Designer Will Dress Melania Trump as First Lady Today??Dresses Michelle Obama wore for the 2 Inauguration Days.
14 0

Leo ndo Trump anamreplace Obama as45th President Elect of the USA ,itakuwa 5pm GMT huku kwetu itakuwa saa mbili usiku kama sijakosea. wanakuwa FIRST COUPLE IN FEW HOURS Now mambo ni mengi mbali na kwamba wengi hawam support Trump ila wengi pia wanamkubali,wasanii kibao walikataa kuperform kwenye sherehe hizo na issue zingine nyingi huyu baba