Author: 8020fashionsblog (Page 358/358)

CASUAL LOOK FEATURING KITENGE TURBAN

JILEMBA LA KITENGE KUFUNGA MTINDO WA BOW TIE SWAGA NYINGINE HII SI LAZIMA KUFUNGA UP DO KILA SIKU MPYA HII, CRDIT:FINDINGPAOLA

Read More

FRESH:NIGER BRIDE STYLE

AM SURE UMESHAKUTANA NA MAVAZI YA KINAIJA WANAYOTINGA BIBI HARUSI WAO.LAZIMA LEMBA NA HILO JICHENI,SHURTI JITENGE LINGINE KWA BEGA USISAHAU LACE. CREDIT:BLACKVALERIE

Read More

UNYAYO ANAOTINGA SANA KIM KARDASHIAN

UNYAYO HUU WA KIM K NDO WANASEMA OBBSESSON KWA KIENGLISH BASI NDO OBBSESSION MPYA YA KIM ANAUTINGA SANA NA KIP SKROLING UONE VIVAZI ALOTINGA…

Read More

KIVAZI KINACHOTINGWA SANA MAJUU:JUMPSUIT

KWA SASA JUMPSUIT /ROMPERS ZAVALIWA SANA HUKO MAJUU

Read More

SARE SARE:ZEBRA FULL SKIRT

CREDIT:LOVELIFEPEARLS,STYLEOASIS

Read More

BRAIDS

Read More

J LO KITAANI

JLO AKIWA OUT & ABOUT NDANI YA RIPPED JEANS ,KIJASTI NA NDALA NI KI CASUAL ZAIDI SIMPLE.SIO MTU UNAJIKOKI WEEKEND KAMA UNAENDA KWENYE INTERVIEW….

Read More

DEOLA & BIODUN WEDDING

 TAYARI KWA GAUNI>>>>>>>  DECOR    JIUGONJWA MAIDS>>>>mwaaaha deola umependeza  LETS DANCE  AFTER PARTY ILIKUWA MGAO + POZZZ 

Read More

NITOKE VIPI:CORPORATE LOOK

CREDIT:SKINNYHIPSTER

Read More

MRS O KWA COVER YA ESSENCE MAGAZINE

LONG TIME NO SEE KWAKWELI MRS O KWA COVER YA  ESSENCE AUGUST MWAKA HUU.KAMA KAWAIDA YAKE HUWA ANAKEEP OUTFIT ZAKE SIMPLE AND CLASSY CREDIT:FASHIONBOMBDAILY

Read More

FRESH

Read More

HIJABISTA:ASCIA

POCHI IMENIBAMBA UFUNGAJI WA HIJAB WA ASCIA UPO TOFAUTI COZ YEYE ANAFUNGA KITURBAN ILA INA KUWA NI SIDE TURBAN, HATA HIJABISTA WANATOKELEZEA WAKITINGA FULL…

Read More

JINSI YA KUSTYLE KIVAZI KIMOJA MCHANA NA JIONI

KAMA UNA  KIDATE CHA JIONI AU USIKU NA HUNA MDA WA KUBADILI NGUO BASI KIGAUNI KIMOJA WAWEZA VAA MCHANA NA JIONI.KWA MCHANA VAA NA…

Read More

FASHIONISTA :KTR

NSHAONAGA FULL SKIRT ILA HII NI DOUBLE FULL SKIRT IMECHANUA SANA NA COLOR YAKE IMENIBAMBA CREDIT:KTRSTYLE

Read More

TURBAN/LEMBA

MAMA NA MWANA MZOESHE MAPEMA AKIKUA LAZIMA APENDE VERY CUTE SHINGONI  NA NECKLACE YA KIMAASAI CREDIT:WRAPLIFE

Read More

BLUE IVY HAIR DO

BLUE IVY AENDELEA KUCHANWA NA KUBANWA NYWELE SAFARI HII NI MABUTU MAWAILI.KAMA ALIVYOKUWA SPOTTED NA WAZAZI WAKE WAKIWA SHOPPING BLUE AKIWA KABEBWA NA BABA…

Read More

Women Celebration 2014

Moja ya very successful event za Women celebration ,hii ilikua nzuri mnoo,theturn up was real kama kawaida wadada walitokelezea na vitenge . Mgeni Rasmi…

Read More

WOMEN CELEBRATION 2013

Yes ni women celebration ambayo tunasherehekea kila mwaka kwenye siku ya wanawake duniani,basi wanawake tunakutana kwa pamoja tunasherehekea na tuna enjoy siku yetu hii…

Read More

Women Celebration 2012

Kwa mwaka huu theme ilikua Kanga,warembo walipita kwenye carpet na vivazi vyao vya khanga

Read More