Badamu Bamwemwagika??? Zarithebosslady na Diamond Platnumz wafuta picha zao za pamoja Instagram

Badamu Bamemwagika????

Hii ni kiki au ukweli???Maana huko insta kuna chosha sometimes maana hujui lipi kweli au uongo ila one thing we can all agree huwa lisemwalo lipo.

Asubuhi hizi team waliona Zari anafuta picha za Diamond na za familia yake ila saa hizi naona wote wawili wamefuta picha zao wakiwa pamoja hadi za Baecation zile za Mombasa.

Zari huyu picha zake zilivyokua mwanzo na sasa.

May be wameamua kuanza kupiga picha za pamoja upya au wameachana ila hawa wanatengana tu sababu ni wazazi hawaachani .

Diamond nae kafuta picha pia

Hadi sasa hamna alo comfirm may be wana hasira tu za hapa na pale .

We will be observing

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.