Beauty :: Jinsi ya Kuremba Nywele zako kwa kutumia CHUPIO (Bobby Pins)

Wanaziita Bobby pins kwa ki ngereza ila huku kwetu ni chupio,na zinajulikana sana kwa kufichwa yani huwa mtu anabanwa hazionekani na zikionekana zitafichwa kama vile ni kosa kisheria chaaa.

Zamani na hata sasa mtu akitaka bana mtindo complicated basi hizi ndo zinazotumika sana sana.

Ila rule hii ya urembo watu wanaivunja tu kwa sasa watu wanazipenda sana hizi chupi na zinatengenezwa vizuri zimeongezwa urembo amazing,zina color kama silver,gold au black etc.

Hivi ndivyo waweza kuzibana kwenye nyewele zako na zikawa urembo kama vibanio vingine.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.