Beret Style by Nancy Sumari,Lavidoz,Vanessa Mdee, Joujoustyle na Luludiva

Beret zimeingia kwa sasa and they are all over the place ,from runways to street styles tunaziona kila mahali.Now kwa nje washavaa wengi sana ,tu focus na fashionistaz wengi wa hapa Bongo ambao wamevaa hizi beret.

Sio kwamba hazikuwepo hapana zilikuwepo sana tu but sasa hivi zimerudi tena kwa fashooon.Hizi ni unisex wanaume na wanawake wanaweza kuvaa.

Lavidoz styled her striped top ,skinny jeans and accessorized her look with a cute black beret ,sun glasses and some bracelets

Nancy Sumari wore a grey beret to match her black and white look

Joujoustyle in Kitenge beret 

love this

Vanessa mdee 

Lulu Diva nae amerock ya orange na pink

Hata Juma Jux alivaa sana hizi muda tu ,wakati now ndo watu wanashtukia

anazo nyingi black ,red 

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.