Beyonce and Jay Z On the Run Tour II Wardrobe

Beyoncé and Jay Z’s On the Run II Tour ime kick off in Cardiff, Wales leo na show imesubiriwa kwa sana ,me kati ya vitu ambavyo napenda kwenye tour kama hivi ni kuona nguo alizovaa Beyonce.

Mara nyingi huwa her entire wardrobe inakua designed just for the show,vitu huwezi kuta online or on stores but mwaka huu may be mambo yatakua tofauti kidogo ambapo Beyonce anaonekana kuvaa nguo ambazo zipo online ila hiyo bei sasa acheni tu.

Anyone the comeback imekua kubwa na as usual the queen never disappoints ,wengi wamesifia show ilikua ya kibabe sana.

Jana ndo ilikua opening show yao na walivaa hivi ,

Beyonce alituonyesha her curves in a sheer crystal studded blazer amabayo ilikua  layered over a skintight leotard both custom pieces from LaQuan Smith.

Jay Z  in a tailored white suit and sneakers, a massive medallion around his neck

Beyonce opted for clear boots as footwear

here they are 

another gear in custom logo-covered Gucci pieces from Dapper Dan

her female dancer

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.