Bonag Matheba Looks Amazing in Toju Foyeh Design

Moja ya biggest names in South African Entertainment industry,Bonang Matheba ni mdada anaefanya poa sana kama presenter wa radio na tv ,pia she is real good kwenye fashion anapenda kuvaa sana na huwa anatokelezea haswaa.

Juzi kati alikuwa Nigeria for some work na kati ya nguo alizovaa designer Toju alivisha this amazing pink lace dress na bonge la lemba.13183458_1721743111429899_845039174_n

alipendeza mnoooo

13129918_1632160340442199_22196636_n

The dress ilikuwa kama na sequins ,mixed with tutu fabric pia.

Toju Foyeh

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.