Caitlyn Jenner ndani ya Shela

Caitlyn Jenner sijamskia tangu apate dili na MAC ambapo wanatengeneza Lipstick ambayo mauzo yake yataenda kwa trans people na

So kuna picha imetoka Caitlyn kavaa shela na yuko kama kwenye duka la magauni ya harusi nkashtukaa heee anaolewa???31F24C4200000578-0-image-m-64_1457326706554

Basi nkasema ngoja ni google zaidi nipate kujua na niwajuze bwana kufatilia ni kuwa kwenye clip mpya ya trailer ya ile reality show yake ya Iam Cait maana inarudi sasa hivi kwenye season two ndo huko anajaribu gauni la kama harusi au mwayaita shela vile.Sababu Why kavaa gauni hilo tusubiri show iwe aired ndo ukweli maana wengine wasema anajiandaa na ndoa ,wengine anajaribu tu kila mtu na lake.cait54

Kwa a date night out katuvalia a sequin striped dress na kiblazer cheusi na sandals love her bag
cait

Mchana alikuwa ndani ya jeans na t shirt ya I am Cait na boots zake.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.