Caitlyn Jenner ndo the new face of H&M Sport

Hii yaitwa unaemchukia kaja ,So Caitlyn issue yake ya u model inazidi tu kukuwa maana juzi juzi alikula shavu na Mac ,leo kawa the new face of H&M Sport wear.How lucky is she???Caitlyn-Jenner-600x750

Msisahau kuwa Aliwahi kuwa mshindi wa mashindano ya Olympics huko nyuma miaka ya 70 na ni Athlete ambaye anahishima kubwa sana duniani,na huu ulimwengu wa diveristy kibao za watu wa nene ,trans kila kampuni inataka ku make sure kuwa inakuwa na usawa wa wote hawa.

H&M waliandika hivi kwenye ukurasa wao wa tweeter ”Behind the scenes with the strong and beautiful . Stay tuned for more!

caitln-jenner-at-vanity-fair--oscars-party

Hapa ni kwenye afterparty ya the Oscars
Caitlyn Jenner MAC Cosmetics

shavu la MAC 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.