CAN YOU SURVIVE A LONG DISTANCE RELATIONSHIP KAMA HAWA KOREAN COUPLE.

This Korean couple Danbi Shin & Seok Li are in a long distance relationship, mmoja yupo New York na mwingine yupo Seoul. Wameweza kuweka their relationship strong hata kwa umbali uliopo kati yao..and they are also engaged .

Sio watu wengi wanaoweza kukaa katika mahusiano na mtu aliyekuwa mbali, lazima mambo ya kusalitiana yatkuwepo, vitu kama trust/uaminifu ni kikubwa sana katika situation kama hizi.

This Korean couple waliweza kukaa connected kwa njia mbalimbali kama video calls, they always kept in touch. Pia walianzisha project yao inaitwa “Half&Half” ambayo walikuwa wakiga picha za sehemu au vyakula na vitu vingine na kuziunganisha nusu kwa nusu..

Hizi ni picha chache kutoka kwenye project yao, more on their Instagram :: @shinliart

long distance relationship 3

long distance relationship 2

long distance relationship

long distance relationship 10

long distance relationship 8

long distance relationship 9

long distance relationship 7

long distance relationship 5

long distance relationship 4

long distance relationship 6

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.