Alicia rocks African Prints turbans ,Wears Eye Makeup for the first in almost a year for Allure Magazine
26 0

Alicia Keys kama mwaka sasa aliamua kuacha kupaka make up na kuziachia nywele zake ,so basically to go natural ,na she aint playing,hii ni movement kwake kwamba yeye sio mtumwa wa makeup,ana amua kupaka au aache so wale wa ku body shame wenzao hapo ndo mnaposemwa na muonea aibu kila mtu ana right to wear

AFRICAN TOUCHES
52 0

KITENGE TURBAN  

South Africa’s Media Personality Bonang Matheba rocks African Touches for Glam Africa Magazine
87 0

Mwaka huu umekuwa mzuri kwa Bonang Matheba mbali na kuwa ana mdate S.A top rapper AKA but she has made her name even bigger kwa kufanya kazi kibao. Ameweza kuwa featured kwenye magazine ya Glam Africa na huko tumependa vivazi vyenye African Touches za kutosha tu. African prints blazer love this cape coat and oohh

Mwamvita Makamba in Kiki’s Fashion top and Doreen Mashika’s Bag
120 0

My kinda look of the day simple,girly and yet chic Ripped jeans,kitenge top ,Doreen Mashika’s bag and ankle strap sandals

We love Oge Okoye’s Head Wrap
88 0

Oge Okoye ni actress wa Nollywood ,alishare these cutest photos to celebrate her Birthday,yassss sio bongo tu wa kufanya photoshoot ya siku ya kuzaliwa hadi huko Nigeria ,hii kitu ni dunia nzima so muache wananga wanaofanya photoshoot. Of all the photos she shared we heart these alovaa an off shoulder top,and a kitenge turban. I

Rihanna channels Africa touches with her pink Gele
152 0

Baada ya Lupita Nyong’o ku rock malemba kwenye premier ya movie ya Queen of Katwe around the world ,Rihanna nae is taking her fashion sense forward kwa ku rock Gele /Lemba kitaani Perfect look for a wedding guest may be ita trend sasa, Am sorry ila ni Photoshop tu ile ,alivaa this dress mwaka jana