African Touchez (Page 2/14)

We love Oge Okoye’s Head Wrap

Oge Okoye ni actress wa Nollywood ,alishare these cutest photos to celebrate her Birthday,yassss sio bongo tu wa kufanya photoshoot ya siku ya kuzaliwa…

Read More

Rihanna channels Africa touches with her pink Gele

Baada ya Lupita Nyong’o ku rock malemba kwenye premier ya movie ya Queen of Katwe around the world ,Rihanna nae is taking her fashion…

Read More

“Les Sapeurs” Nikki Billie Jean Ready-To-Wear 2016 Collection Campaign

Presenting to you  “Les Sapeurs” Nikki Billie Jean Ready-To-Wear 2016 Collection Campaign This collection features ankara print three piece suits with eye-catching colors and polished…

Read More

Men’s Fashion:::Be Inspired by Jidenna and his love for African Prints/Touches

Mwanamuziki mwenye wa Ki Marekani mwenye asili ya Kinigeria ,ambaye alitingisha sana na ngoma yake ya Classic Men ,ni mpenzi sana wa African Touches/African…

Read More

Lupita Nyong’o is an African Queen in African Print Dress for Queen Of Katwe premier in Uganda

Lupita Nyong’o alikuwa Uganda kwa ajili ya kuendelea kui promote movie yake mpya ya Queen of Katwe ,na she did it with style,again Lupita…

Read More

How Agatha Styled her Kitenge bomber Jacket 3 Ways

Bomber jacket are so bomb,goes well with casual wear even dressy wears they can real help you transform your looks from boring to chic…

Read More

Lupita Nyong’o Supporting African Designer by Wearing a Kibonen NY Design to Good Morning America

Bado yuko kwenye promotion ya Movie yake mpya Queen of Katwe ,na ana appear from on show to another just to do that,but i…

Read More

Ohhh Hamisa Mobetto #Salome

Hamisa looks incredibly cute in this African prints and beads Wearing a kitenge strapless bra and a wrap around kitenge with shanga nyeupe zinazo…

Read More

YOU LOVE TURBAN????WE HAVE NEW STYLES FOR YOU

We love Turbans zinafanya muonekano wako uwe mzuri uwe ki Africa zaidi.Love the messy Turban hii ilivyofungwa maana hii haijakazwa sana ni kama kalitupia…

Read More

Singer Monica Brown ndani ya Dashiki Shirt and Cape

Singer Monica Brown ameonyesha love kwa African prints akiwa basi kavalia an extremely ripped jeans paired with a Dashiki shirt and a matching Cape…

Read More

Lamar Odom Street Style in a Dashiki Shirt and Shorts

Lamar Odom was spotted huko majuu akiwa na a mystrious woman but what caught my attention was his Dashiki shirt. He paired it with…

Read More

MORE DESIGNS FOR YOU THIS RAMADHANI FROM KATTY COLLECTION.

Katty collection wana even more beautiful designs ambazo utaweza vaa this Ramadhani, unaweza kuwasiliana nao for more details na kuingia www.kattycollection.com kuona designs zingine…

Read More

How Jacqueline Wolper ,Mwamvita Makamba and Ashura Sapi Rocks African Print Kimono’s

Kimono ni habari ya mujini right now tena especially kipindi hiki cha Ramadan zinafaa sana if you rock them with a dress or trousers….

Read More

Msanii Wa Pop Pink Ndani Ya Gauni La Batiki

Batiki kwa kingereza ndo wanaita tie dye????Wadau mlio vizuri hapa mtujuze Wakati wengine mkiwa kama mmezishit hizi Batiki sizioni kama zavaliwa hizi siku hizi…

Read More

Adorable Aunty Ezekiel’s Family Pictures

Last weekend Aunty Ezekiel na Mose Iyobo walisherehekea 1st birthday ya mtoto wao Cookie la Princessa Before the birthday walifanya photoshoot ,we loved their…

Read More

Best African Print Dresses From 2016 Prom

Mwaka jana huyu mrembo Kyemah McEntyre aliweza ku break the internet baada ya kujidesignia gauni la African Print special for Prom. Zamani hakukuwa na…

Read More

How Photographer Osse Wore His Kitenge PsjBrand Blazer Two ways

Long coats are so in right now na sio kwa wanawake tu hata wanaume pia. Osse wore this kitenge Psjbrand blazer in two ways…

Read More

Get Millen Magese’s African Print Fule Coat From IamKaliElegance

Loved this Coat kwanza kwasababu prints zake ni nzuri,halafu ni kitenge and its a sleeveless coat yenye good design kwa mbele,mwaita mdondoko right??? There…

Read More

Wema Sepetu was Spotted At MunaLove’s Birthday Party

Wema Sepetu took a vow kutoweka picha zake insta hadi June this year,Now tukiendelea subiri hiyo June ,here are some pics of Wema alipokuwa…

Read More

HOW SORAYA DE CARVALHO STYLED HER DASHIK SHIRT DRESS

The beautiful fashion blogger Soraya looks chic in her Dashiki shirt dress,Me napenda muita not your average fashionista maana mikato yake ni ile ya…

Read More

NEW IN TOWN::ALLY REHMULLAH KITENGE BAGS

African touches at its best,Ally Rehmtullah aja na Kitenge Bags,they now available on his shop Masaki Chole Rd. Follow him on IG @AllyRehmtullah for more…

Read More