Singer Monica Brown ndani ya  Dashiki Shirt and Cape
83 0

Singer Monica Brown ameonyesha love kwa African prints akiwa basi kavalia an extremely ripped jeans paired with a Dashiki shirt and a matching Cape Such a simple style and the colors are just wow. Dashiki from Dashikipride 

Lamar Odom Street Style in a Dashiki Shirt and Shorts
98 0

Lamar Odom was spotted huko majuu akiwa na a mystrious woman but what caught my attention was his Dashiki shirt. He paired it with black shorts and black  sneakers ofcourse with a cape Amekuwa reported kuwa amerudia kunywa hizi ni accesations tu na wanasema pia he is homeless baada ya Khloe kuacha kulipia nyumba ambayo

MORE DESIGNS FOR YOU THIS RAMADHANI FROM KATTY COLLECTION.
104 0

Katty collection wana even more beautiful designs ambazo utaweza vaa this Ramadhani, unaweza kuwasiliana nao for more details na kuingia www.kattycollection.com kuona designs zingine nyingi. WASILIANA NAO :: +255 784273472, 255715273472 WANAPATIKANA ::Mikocheni behind Master Club, DSM WAFOLLOW INSTAGRAM :: @KATTYCOLLECTION

How Jacqueline Wolper ,Mwamvita Makamba and Ashura Sapi Rocks African Print Kimono’s
212 0

Kimono ni habari ya mujini right now tena especially kipindi hiki cha Ramadan zinafaa sana if you rock them with a dress or trousers. Jacqueline Wolper wore her Kimono from Mgececcdesigns ,this kitenge kimono was worn with all black outfit and accessorized by a big beige tote bag Mwamvita Makamba wore this to work with

Msanii Wa Pop Pink Ndani Ya Gauni La Batiki
76 0

Batiki kwa kingereza ndo wanaita tie dye????Wadau mlio vizuri hapa mtujuze Wakati wengine mkiwa kama mmezishit hizi Batiki sizioni kama zavaliwa hizi siku hizi kabisaa naona tu vitenge .Well Pink yeye alivaa hili gauni  la bitiki kwenye premiers za Alice Through the Looking Glass huko majuu. The dress if from the designer Rosie Assoulin ,kutoka kwenye her

Adorable Aunty Ezekiel’s Family Pictures
193 0

Last weekend Aunty Ezekiel na Mose Iyobo walisherehekea 1st birthday ya mtoto wao Cookie la Princessa Before the birthday walifanya photoshoot ,we loved their choice of outfits African prints zilitawala japo hapa ni linen mixed with African prints How adorable is this fam??? Aunty matched her look with her baby girl Family affairs  Happy belated