KITENGE TURABANS
68 0

MUONEKANO HUU WA LEMBA ULIUNGWA ZAMANII ILA SASA UMERUDI TURBANS ITS ALL ABOUT STYLE YAKO MWENYEWE KITENGE CHA PENDEZA VYOVYOTE UKIKIFUNGA. SHARE NASI UFUNGAJI WAKO KWA EMAIL shamyomy@yahoo.com insta @8020fashions tweeter & facebook @8020fashions

JIFUNZE JINSI YA KUFUNGA TURABN
100 0

HAYA KWA KUFATA MTIRIRIKO WA PICHA KWA MAKINI WAWEZA FUNGA TURBAN YAKO UKIFUNGA SHARE PLZ CREDIT:FIU-NEGRU

PLUS SIZE FASHIONISTA:MARRGEE
114 0

FRESH PRINTS ON PRINTS (POLKA DOTS & STRIPES KIJASTI) AFRIICAN PRINTS JIMPASUO CREDIT:INSTA @MARRGEE

CHRISS BROWN NDANI YA DASHIKI
51 0

KIVAZI NI CHA DESIGNER AZTEC ILA TWAONA NI DASHIKI HII AU MWAITA PIA MAKENZESIKU HIZI WATU WANATENGENEZA T SHIRT WANAWEKA NA NASHKI YA MAKENZE.SHATI LIMEBAMBA NA LIMENOGA CREDIT:DAILYMAIL

CASUAL LOOK FEATURING KITENGE TURBAN
70 1

JILEMBA LA KITENGE KUFUNGA MTINDO WA BOW TIE SWAGA NYINGINE HII SI LAZIMA KUFUNGA UP DO KILA SIKU MPYA HII, CRDIT:FINDINGPAOLA

FRESH:NIGER BRIDE STYLE
80 0

AM SURE UMESHAKUTANA NA MAVAZI YA KINAIJA WANAYOTINGA BIBI HARUSI WAO.LAZIMA LEMBA NA HILO JICHENI,SHURTI JITENGE LINGINE KWA BEGA USISAHAU LACE. CREDIT:BLACKVALERIE