BE INSPIRED

Ujumbe Wa Jacqueline Mengi kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Muungano Juu ya Umuhimu na Faida za Maktaba

Jacqueline Mengi amekua akisaidia shule mbalimba kwenye ukarabati /ujengaji wa Maktaba za wanafunzi kwenye shule mbalimbali . Ameshajenga Maktaba kadhaa kupitia Foundation ya drntuyabaliwe_foundation  Shule…

Read More

Lupita Nyong’o aja na Kitabu cha Watoto

Lupita Nyong’o amedhihirisha kwa ulimwengu kua ni multi talented baada ya kusiama kwenye uigazaji vizuri na kujulikana duniani sasa hivi amekuja na kitabu cha…

Read More

Faraja Nyalandu Atoa Somo Jinsi ya Kujiamini na kua mkweli dhidi ya Udhaifu wako

Faraja Nyalandu Mkurugenzi wa Shule Direct amekua aki wa inspire vijana wengi sana na mimi nikiwa mmoja wapo ,lakizi ziadi akitoa masomo mengi juu…

Read More

This is why Oprah Winfrey Stole the show at the Golden Globes 2018

Her speech OMG Anaendelea kua my all time favorite woman in the world sababu she is so fly like that,huwaga speech zake zinasiamamisha dunia…

Read More

Mambo 10 Alojifunza Faraja Nyalandu mwaka 2017 ,Trust me hata wewe unayahitaji

Yes kwa mwaka 2017 kuna mengi kila mmoja wetu amejifunza na amepitia ,matumaini ni ku make sure kwamba umejifunza na umejijenga kutokana na hayo…

Read More

Classy Pre- Wedding Inspiration Photos by Letoya Luckett

Kuna watu wanaolewa soon wengine ,January well i hope kama mtafanya photoshoot ya pre wedding hizi inspiration from singer and actress Letoya might help…

Read More

Dancer wa Beyonce alivyovunja kwenye Dance ya lemonadechallenge na mimba ya Miezi 8

Sometimes wengine ukifikisha miezi 8 wata anza kusema hutakiwa bitu hivi mara vile but ile stereotype ya ukiwa na mimba hutaki cheza like this…

Read More

10 Quotes from the World Most Influential woman in Fashion Anna Wintour that will Motivate You

Anna Wintour ni moja ya watu ambao wana influence kubwa sana kwenye fashion industry duniani,na pia ni chief of US Vogue for nearly 30 years,Huyu mama ana…

Read More

Me at 60

Kris Jenner is Goals Cheers to being old and fine

Read More

Dress hii ya Jacqueline Wolper imekua inspired by Rihanna???

Hapo nyuma Jackie alishonea wateja wake wawili on the same dress ambayo Rihanna alivaa ,ambayo ni hii kutoka kwa designer giambattista valli Cheki hapa wateja…

Read More

Fashion Designer Khadija Mwanamboka Ame Launch Clothing Range kusaidia watoto wenye Ulemavu wa Ukiziwi na ububu ( Deafblindness)

Fashion designer launches new clothing range to benefit charity                                                Pictured – at the Tanzanian Embassy in London, Khadija Mwanamboka stands in the centre,…

Read More

Mahujaji milioni 2 watua Makka kufanya Hijja

Mahujaji zaidi ya milioni mbili kutoka duniani kote wamedaiwa kuwasili mjini Makka katika nchi ya Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya Hijja. Hili linatokea…

Read More

Mama ntilie wa Kishua Open Kitchen Sio kwa Ku Slay huku Fahyaaaaaaaaa

Jamani Mama ntilie wa kishua leo kanikosha kapendeza sana ,uwwiii ur hard work finally ina pay off ,isee the feeling must be great ,ila…

Read More

”Wengi wanatamani Harusi ila wanasahau kuna maisha ya ndoa baada ya harusi ” Zamaradi Mketema

Ushauri mubashara wa Zamaradi wa vitu vya kuzingatia kabla hujaingia au kuitamani ndoa   Wengi wanatamani harusi ila wanasahau kuna maisha ya NDOA baada…

Read More

It’s #Choose day ,What do you choose to be??

#nyingine hii baada ya zile za #MONSLAY ikiwa Monday ,au Issa ikiwa It’s a ,Friyay ikiwa friday etc for Tuesday tuna #choose day ,ni…

Read More

Millen Magese was Breastfeeding her son while getting her makeup done

How amazing is motherhood??/Millen Magesa  looks fabulous she share kwenye insta story akiwa anamnyonyesha mtoto wake huku anapakwa makeup this is the cutest thing…

Read More

They Represent Beauty with Brain

Hii ni kwa wale wote wanaoamini kwenye beuty and brain sio beauty tu hapana we add more value to beauty by having brain ikimaanisha…

Read More

Elizabeth Michael Akipata Mtoto wa Kike Atamfundisha haya kuhusu Muonekano /Uzuri wake

Wasichana wengi kabla ya kupata watoto wanakua tayari wanajua watawapa malezi gani watoto wao,haiko tofauti na Lulu ambaye anasema akija aliwa kupata mtoto wa…

Read More

Its Totaaly okay to Match Your hair with Your Lipstick according to Vera Sidika

We all know her by queenveebosset,anajulikana kwa shape yake ya kutengeneza na ku bleacha her skin wala sio siri na hajawahi kubisha,its her life she…

Read More

Mtanzania aliyeshinda Tuzo 5 kwa ugunduzi na kukutana na Dangote

Very inspiring ,nmeitoa kwa kaka Millard Ayo Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Mtanzania Askwari Hilonga ambaye ni Mhadhiri wa Chuo cha Nelson Mandela, Arusha ambaye ameshinda tuzo tano kwa kutengeneza mtambo…

Read More

Mwana Hip Hop wa Kike Chemical abadili Muonekano wake ,U sister do at its Best

Tunamjua mdada wa kuchana Chemical akiwa anafanya vyema kwenye muziki wa Hip Hop and kwa sasa amechukua karata ingine kabisa kwenye ulimwengu wa fashion…

Read More