Beauty

Lavie Cosmetics Tz waja na Eye Shadow Palette

Lavie Cosmetic Tanzania wameongeza product nyingine kwenye list yao nayo ni rangi ya eye shadow baada ya browstatic kufanya vyema na kua sold out…

Read More

Upendo Shuma aka Lavie Aja na BROWSTATIC

Upendo Shuma, Founder of Lavie Makeup Studio ambaye her beauty skillz imeasaidia sana kutoa ajira kwa vijana mbalimbali hapa Tanzania . Alikua kwenye list…

Read More

JINSI YA KUFANYA FACIAL NYUMBANI / HOW TO DO A FACIAL AT HOME.

Ladies leo nimewaletea a step by step process itakayokuwezesha kufanya facial mwenyewe nyumbani. And kama kuna topic yoyote mnayohitaji kuletewa feel free kuaca comment…

Read More

Beauty:: Christian Louboutin Aja na Collection za Eye Shadow za Laki Moja

The Famous red sole shoe designer anaependeza Unyayo wako sasa atapendezesha jicho lake,mwanamke jicho,anakuja na eye shadow mpya zitakua 12. 6 zitakua Matte na…

Read More

Hii yaweza kua trend Mpya ya Upakaji wanja kwa Nyusi (Brows) Kutoka kwa Rihanna

Rihanna amepata shavu la kua kwenye kurasa za mbele za magazine maarufu duniani ,Vogue tena the Big Issue hii ikiwa ni British Vogue September…

Read More

Makeup Artist wa Rihanna na Siri ya Kutumia Sabuni ya kipande kwenye Nyusi

Makeup Artist wengi wana tips and tricks zao kwenye kuhakikisha kwamba makeup zinakaa vyema na ku last long kwenye clients wao ,its even harder…

Read More

Beauty :: Jinsi ya Kuremba Nywele zako kwa kutumia CHUPIO (Bobby Pins)

Wanaziita Bobby pins kwa ki ngereza ila huku kwetu ni chupio,na zinajulikana sana kwa kufichwa yani huwa mtu anabanwa hazionekani na zikionekana zitafichwa kama…

Read More

UZINDUZI WA ZURII BEUTY CLINIC & SPA

Weekend hii mjasiriamali Jestina George Meru ambaye ni mmilikiwa ZuriiHouseofBeauty alizindua Zurii Beauty Clinic & Spa ambayo ipo ndani ya duka la Zurii. Wadau…

Read More

Zurii Beauty Clinic & Spa

Read More

Kim Kardashian is Launching her signature neutral LIPSTICKS & LIP LINERS

Finally the product everyone has always wanted . Kim is known for her nude lipsticks ,its her signature look but wakati ana anzisha KKW…

Read More

Priyanka Chopra Alikosa Movie Role Sababu ya Rangi yake ya Ngozi

Swala la ubaguzi wa ngozi bado lipo na sijui kama siku moja litakuja kuisha ,mataifa yaliyoendelea yanapinga sana hili lakini wao pia ndo wanao…

Read More

Jinsi Mwanamuziki Nandy Alivyojiandaa kwenda kwenye tuzo za Malkia wa Nguvu

Huwa naonaga mara nyingi Lulu ndo alikua akifanya Video za hivi,na ofcourse kwa nje Ma celeb wengi wanaweka preps zao za before and after…

Read More

Bald and Beautiful ,Tamar Braxton is Giving us Life with her bald head

Mwanamuziki Tamar Baxton recently baada ya ndoa yake kwenda na maji ameamua ku detoxify maisha yake hadi hair style yake ,sasa amaeamua ku go…

Read More

Beauty News::: Sneep peek ya Collabo ya MAC na Marehem Aaliyah

Well ni muda sasa tangu fans waiombe kampuni ya MAC kuomba watoe a special honor kwa late and great singer Aaliyah ,MAC wameacha sneek…

Read More

Kim Kardashian is Dropping KKW Beauty Concealer Kits

Kim Kardashian is launching her new three steps concealers kit,ni kitu ambacho tangu ana anzisha product zake mwaka 2017 Kim alikua anataka kuja na…

Read More

Celebrities Wakionyesha Jinsi walivyokua wanajiandaa kwenda Kwenye Oscar 2018

Me napenda sana kuona hizi picha au video za behind the scenes jinsi wanavyijiandaa kwenda kwenye tuzo kubwa kama OSCARS. Wanaonyesha from dress fittings,facials,makeup…

Read More

Fashion Blogger na Youtuber Maarufu Kenya Azisifia Lipstick za Hamisa Mobetto

Yes seems Hamisa Mobetoo’s charmed liquid lipsticks zina anza kufanya vyema ,ikiwa kama anapata watu maarufu ambao watafanya reviews na kutoa maoni yao na…

Read More

Beauty Trends :: Fishtail Brows + Tutorial ya Jinsi ya ku achieve hii trend

Last year we saw many weird eyebrow trends ruling the social media. Is this one of those weird trends? Since the Boom of Beauty…

Read More

BEAUTY IS LUPITA NYONG’O AND DANAI GURIRA

These two women are just amazing,they did an amazing job kwenye Black Panther Napenda pia wanavyo embrace their natural beauty from hair to skin…

Read More

Mambo 7 unayotakiwa kujua kuhusu Lipsticks za Hamisa Mobetto ambazo ziko Sokoni

Kwanza Hongera Hamisa kwa hili,ni big step ,tukutakie tu kila la kheri ,na tuwaombe wadau wote wakupe ushirikiano na kuku ungisha. Hamisa Mobetto amekuja…

Read More

Njia Simple ya Kupaka wanja kwenye Nyusi Zako na AYSHA HARUN

Wataka wanja wa lulu kuujua kupaka???na kua kama warembo wengi ambao siku hizi wanaweza kupaka wanja zao kama vile wao ni Ma Makeup Artist??/usijali…

Read More