DESIGNERS

Drones Zatumika Kubebea Pochi badala ya Models kwenye runway ya Dolce & Gabbana Milan Fashion Week

]Human Models are so last season It’s 2018 na tayari tunaishi in the future Tecnolojia inazidi kukua na ku prove kwamba machine zinauwezo wa…

Read More

Kanye West Aja na Kim Kardashian’s Look alike Models kutangaza KYeezus Season 6 Yapata Mode

Kanye West kaja na round ingine ya Yeezus Season 6 ,baada ya Kim kuzitangaza nguo kwanza na zilipata hype ,ilikua December mwaka jana ,ambapo…

Read More

Kim Kardashian Reveals Yeezy Season 6 Collection in a unique way

Kim Karashian just  marketed Yeezy season 6 ,all 16 outfits she wore in two days,watu tukajua its just her new look but no its…

Read More

These Women Rocka the Power Suit by Ki2pe Suits

Women kila mtu ana hitaji that power suit.Moja ya designers ambao wanafanya vyema sana kwa sasa ukiachia Sheria Ngowi au Mtani bespoke. Ki2pe anafanya…

Read More

Fashion News :: Michael Kors Kuinunua Jimmy Choo kwa 1.2 Billion Dollars

  Uchumi wa huko nao mbovu maana kampuni ya Jimmy Choo inanunuliwa na Michael Kors kwa kiasi cha dola za kimarekani 1.2 Michael Kors…

Read More

Rihanna Kuipeleka Fenty x Puma Collection kwa New York Fashion Week

Rihanna anatarajia kuipeleka collection yake ambayo ameshirikiana na Puma kwa New York Fashion Week baada ya kuionyesha collection hiyo huko Paris mara mbili. Riri…

Read More

Jinsi ya Kutamka kwa Usahihi Majina Makubwa ya Brands za Fashion kwa kizungu

Hapa huwa nachefukwa sana ,tunakosea mno kutamka majina ya brands kubwa za fashion duniani,sio sisi tu hata wa huko kwao nao hawapatii kivilee Majina…

Read More

Balmain Resort 2018 Collection

Balmain Resort collection for 2018 imekua inspired na Ballerina dancers ,baada ya kufanya kazi na kamapuni ya  French Opera House, Opera de Paris, for “Renaissance,” wale…

Read More

Flower Crowns to the Next Level from Rodarte’s Spring 2018 Collection

This Rodarte Spring 2018 collection just take the flower crown to the next level huko kwa  Paris Couture Week ,hapa hata nguo huzioni unaona tu…

Read More

Watoto wa Celebrities Snoop Dogg,P.Diddy ,Shaquille O’Neal’ na Rev Run watumiwaDolce & Gabbana for Spring/Summer 2018 menswear collection

House of Dolce and Gabanna waliamua kuwa cast watoto wa kimume wa celebritiees kwenye show yao ya Spring/Summer 2018 menswear collection . Hii ni katika…

Read More

Hata Designer Wakubwa nao wana DESA ,Gucci wamekopy Design ya Dapper Dan

Gucci ni Italian fashion house yenye jina kubwa sana duniani na inaheshimika sana but iko under fire baada tu ya kuonyesha Cruise collection yao…

Read More

Tumechat na Elisha Red Label on Wema Sepetu’s Gorgeous Dress

There is no doubt kuwa Wema amependeza sana on this dress she looked like a goddess Tukasema hapana we have to ask Elisha kuhusu…

Read More

Asia Idarous kuiwakilisha Tanzania kwenye ‘Africa To New Africa’ Marekani

Mbunifu mkongwe wa mavazi hapa nchini, Asia Idarous amepata shavu la kuiwakilisha Tanzania kwenye tamasha la mitindo la ‘Africa To New Africa’ nchini Marekani….

Read More

ALL WHITE LOVE

How amazing is this outfit ??perfect for beach weddings designer alonlivnewhite

Read More

Jason Derulo Launches a Clothing Line why?Because ‘People Are Going to Want to Look Like What I Look Like’

Mbali na kua na juu kimuziki na style yake kwa ujumla  ya uchezaji, nywele street wear,Jason Derulo ame partner na Antonio Brown na LVL…

Read More

Victoria Beckham Target Collaboration is both affordableand stylish

So Victoria beckham na Target wamefanya collabo ,where Victoria Beckham ame designer collection ambayo ni affordable we all know collection za Victoria ni ghali…

Read More

Victoria Beckham is Just Adorable with Kids Models for Instyle Cover

Victoria Beckham ameoamba jarida ya Instyle na akiwa anaongelea mengi ikiwemo safari yake ya mitindo,kama collection yake ya kwanza kama designer,mafanikio yake toka spice…

Read More

Bei ya Gucci’s Spring 2017 Kimono Alovaa Beyonce Kwenye NBA All Star Imewa acha watu Midomo wazi

So nimeona hii ina trend sana kwenye mitandao leo kwamba Beyonce amevaa Kimono ya ghali sana kiasi kwamba watu hawa amini sijui ni sababu…

Read More

Jihan Dimack’s National Costume at the Miss Universe 2017 Designed by Diana Magesa

This is what Jihan Dimack wore for the National costume competition huko Philippines alipokuwa kwenye mashindano ya Miss Universe . na designer ni Diana…

Read More

PSJ Brand Released its SS17 collection “007”

PSJ Brand released the  SS17 collection “007” on 2nd December The name of the collection is 007 and it draws inspiration from the gauntlet…

Read More

Seoul Fashion Week:: The Best Denim Designs from Kiok Spring 2017 Collection

Kiok ni brand ambayo imeanzishwa mwaka 2004 ,ni ya ki familia mama Kiok Kang akiwa na binti zake wawili , Coco.J Lee, and Crayon Lee…

Read More