DESIGNERS (Page 2/10)

Jihan Dimack’s National Costume at the Miss Universe 2017 Designed by Diana Magesa

This is what Jihan Dimack wore for the National costume competition huko Philippines alipokuwa kwenye mashindano ya Miss Universe . na designer ni Diana…

Read More

PSJ Brand Released its SS17 collection “007”

PSJ Brand released the  SS17 collection “007” on 2nd December The name of the collection is 007 and it draws inspiration from the gauntlet…

Read More

Seoul Fashion Week:: The Best Denim Designs from Kiok Spring 2017 Collection

Kiok ni brand ambayo imeanzishwa mwaka 2004 ,ni ya ki familia mama Kiok Kang akiwa na binti zake wawili , Coco.J Lee, and Crayon Lee…

Read More

Amazing Sevon Dejana’s Glam “Ohun Ijinle” (Mystery) Lookbook

I cant start to tell you how much nimependa hii collection ya Sevon Deneja ,i mean labda sababu i love red ,slits,and full dresses,toka…

Read More

The designer HnA.dress2impress gives us more details on Jokate Mwegelo’s Pink Two Piece Look

Jokate alipost this look nafikiri jana and kila mtu amependa the two piece outfit Alipendeza sana but we had some few question to ask…

Read More

4 Times Hamisa Mobeto Rocked Fifi Sugar Designs

Hamisa Mobetto is one hot woman ,she looks amazing hata avae gunia as long as lina swag. She is doing pretty well pia as…

Read More

SAND-SATIONAL SAADANI 2016 COLLECTION BY MUSTAFA HASSANALI SOUTH AFRICA FASHION WEEK

Finally Mustafa Hassanali ame show case collection yake alooita SAND-SATIONAL SAADANI 2016 COLLECTION,Huko kwa South Africa Fashion Week. Collection ina prints nyingi nzuri,nimeona hata designs…

Read More

Atelier Versace Fall 2016 Couture Collection

Loved the Atelier Versace Fall 2016 couture Collection at Paris Fashion Week

Read More

The Designer Elisha Red Label Tell Us More on Wema Sepetu’s Gorgeous Dress For Black Tie Event

Wema Sepetu jana ali dress to Kill Meein ,Alipendeza sanaaa ,hii ni zaidi ya show stopper Wallah ,this looks deserve an Oscar Red Carpet…

Read More

Mwanamuziki Yemi Alade aja na clothing line yake ‘House of Tngerine’,Zama nikujuze Zaidi

So Yemi Alade amekuja sasa kama fashion designer na kwa mara ya kwanza ameshow case nguo zake na collection yake kwa 2016 Africa Fashion Week…

Read More

DESIGNS :: DOLLYSAM BLAZERS

The Dollysam Dancing Umbrellas blazer by @AFRISAGER . Afrisager says, “the inspiration for the name actually comes from the classic, “Singing in the rain.” Believe…

Read More

BALMAIN WOMENS WEAR RESORT 2017

Balamin Women’s wear zimekuwa released tena shortly baada ya kuonyesha Men’s wear ,Designer Olivier takes us to the Denims ,animal print, metallics, and thigh-high slits,choker…

Read More

We Are Drooling Over This Amazing Dress From A Ghanaian Designer Sima Brew

Sima Brew ni designer toka Ghana na nimemjulia toka kwenye this dress alomvisha huyu Actress/Tv Host Selly.So Selly ali attend the Golden Movie Awards…

Read More

Thom Browne Bags For 2016 Resort

Thom Browne ni brand ya kimarekani inayojulikana sana kwa kutoa Suit kali za kiume ,na ni brand ambayo imekuza jina lake kwa Suti so…

Read More

LOUIS VUITTON AMAZING CRUISE 2017 COLLECTION IN RIO DE JANEIRO

Rio De Janeiro ndo ndo show hii ilipofanyika na mkumbuke kuwa miezi mitatu ijayo michezo ya Olympics ina anza na Brazil ndo mji utakaohusika…

Read More

How To Pronounce Designer Names / Jinsi ya Kutamka Majina Magumu Ya Fashion Designers/Brands

Yassssss huwa tunakosea sana jinsi ya kutamka designer name hata majuu pia hawawezi so ni issue ya wote ,mengi ni magumu tunatamka yalivyoandikwa badala…

Read More

Tanzanian Designer To Watch Right Now::Elisha Red Lebel

Moja ya designers wanaofanya vizuri sana kwa mwaka huu ni Elisha ,amaekuwa akifanya kazi nzuri mnoo,from the pictures tu za dresses zake kwa insta…

Read More

Nisa Abaya’s New Luxurious Collection for Spring 2016

Yes ni designer wa hapa hapa Tanzania ,Fatmah Naeem ametoa collection yake mpya ya spring 2016.Kuna Abaya’s nzuri sana kuanzia rangi prints na quality…

Read More

JAW DROPPING RALPH AND RUSSO DESIGNS WE ADORE

These are 2016 Spring /summer Ralph and Russo designs we are loving .The designers are so good that kama you can afford you could…

Read More

NIKE COLLABORATE WITH GYVENCHY

Naona miaka ya sasa ya fashion ni collabo tu za madesigner na makampuni au designers na wanamuziki etc etc,na zinakuwa siku hizi very successful…

Read More

Elie Saab Haute Couture Spring Summer 2016 Collection

Eli Saab ni designer toka Lebanon alionyesha collection yake ya spring /summer 2016 kwa Paris fashion week.Na his pieces kutoka kwa hii collection kulikuwa…

Read More