All posts in: DESIGNERS

35 Views

NIKE COLLABORATE WITH GYVENCHY

Naona miaka ya sasa ya fashion ni collabo tu za madesigner na makampuni au designers na wanamuziki etc etc,na zinakuwa siku hizi very successful naona ndo maana zinaendelea. Gyvenchy wanacolaborate na Nike kutengeneza high end sneakers,model Joan ...